Leo FaizaFoxy najivika rasmi joho la upinzani tena CHADEMA

Chadema wapo kama hawatumii akili vile wapo wapo tu
Usitwambie hatuna akili, kwanza kesho tunaingia mitaani, Mbowe apewe PhD, kapewa mtu kama Msukuma hana lolote yu-ule"matope" matupu, kishahongwa Magari Dubai huko, wanamnyima mtu mwenye akili kuliko watu wote Tanzania, Mwenyekiti Mbowe?
 
Hapo kwenye msisitizo, kwa haya yasioenda vizuri ni pamoja na hili la namna; mkataba wa DPW ulivyoingiwa. Je tenda ilitangazwa?
 
Dah,
Elimu ni kitu muhimu sana. Nchi kuuzwa sio eti mipaka ipunguzwe. BBT ya Bashe inahusianaje na nchi kuuzwa? Nchi kuuzwa ni pale ambapo sekta muhimu za kiuchumi na kijamii zimeshikiliwa na wageni.

Bandari kuuzwa hupaswi kulisemea sasa. Sababu hapo ulipo hujui Serikali itapata nini na Mwekezaji atapata nini. Hiyo above 50% ya bajeti inayotokea bandarini wewe umeiona wapi? Na wasipoleta hiyo mtawafanya nini? Kwa makubaliano yapi?

Mnadanganyika sana na maneno ya wanasiasa, nafanya kazi masaki hiyo SGR inayonitoa Morogoro ikinishushia Posta nianze kupambana na mafoleni ya Dar mpaka nifike masaki ni kupoteza muda tu.

Maji, umeme tumeshindwa kupata vya uhakika over 60yrs ya uhuru ije kua hii miaka miwili tu iliyobaki? Yaani leo karne hii ni muda wa kumuahidi mpiga kura utampa maji kwa nchi kama hii ambako kila pande imezungukwa na water bodies kubwa tu Africa?
 
Reactions: Cyb
Sijaona kunako majaaliwa ya Mwenyezimungu hapo 2025!

We huoni jecha, Membe hatunao!!?

Una uhakika GANI kama hao wagombea unaodhani watakuwepo!!?

HIVYO tu!!
 
Tuko 2025 tunatafuta kura za wanachi. Sera yetu tuliyoanza nayon2023 ilikuwa ya nchi kuuzwa.

Sasa tunaiona bado ipo, tuwaambie nini wananchi watupe kura zao?
 
Sityupid
 
Wambie Muungano wa ovyo ovyo Sana mzanzibari anamikiki ardhi bara Ila mtanganyika harusiwi kumiliki ardhi Zanzibari.

Wambie wanawake wa kizanzibari wanabagua wanaume wa Tanganyika(yaani wapo tayari kumpa mbara kalio Ila sio mbere Kwa madai mbele pa mzanzibari sasa Muungano gani huu?)
 
hivi mmeshawahi kusafiri huku mikoani? Jana nilikua na waziri wa Maji hapa Makere-Kasulu - Kigoma, ukumbuke hapa Makere ndio kijijini kwa mke wa makamu wa Rais, hakuna hata mtu mmoja alikua anafuatilia ujinga wa waziri yule zaidi ya wana ccm walivalishwa sare kwa nguvu na kununuliwa chakula pamoja na innocent souls za wanafunzi
 
Sijaona kunako majaaliwa ya Mwenyezimungu hapo 2025!

We huoni jecha, Membe hatunao!!?

Una uhakika GANI kama hao wagombea unaodhani watakuwepo!!?

HIVYO tu!!
Kijana usiwe tope, hii sisi chadema akili kubwa, lazima tuifanye, inaitwa "political forecasting".

Lizanzibari lilikataa kutuma FFU. Plan ya kumtukana akasirike imebuma.
 
Bado utakuwa hujafuta utumwa wa Mali za Tanganyika tu kuuzwa kwa miaka isiyojulikana huku za Zanzibar hazimo. Bado hujafuta rushwa kubwa waliyopewa Mawaziri na wabunge kiasi Cha kununua majumba Mikocheni, hiyo rushwa utaifutaje?
 
Hiyo yakushika madaraka haipo na haiji kutokea kwahyo usijitie moyo, wagombea wenyewe hamna 😀
 
Hii.m8 CCM tuliimaliza 2023.

Sasa tupo 2025 tunataka kura.

Isijekuwa siku hiyo walikua bize wanawahi mbolea za ruzuku?

Bashe alikuwepo?
 
Bado utakuwa hujafuta utumwa wa Mali za Tanganyika tu kuuzwa kwa miaka isiyojulikana huku za Zanzibar hazimo. Bado hujafuta rushwa kubwa waliyopewa Mawaziri na wabunge kiasi Cha kununua majumba Mikocheni, hiyo rushwa utaifutaje?
Sasa wewe mbona unaongelea mavi ya kale? hayanuki. Ilibuma hiyo, huoni bandari ilivyoajiri watu?
 
Mama hadi leo umenena. Mungu akubariki.
 
Usitwambie hatuna akili, kwanza kesho tunaingia mitaani, Mbowe apewe PhD, kapewa mtu kama Msukuma hana lolote yu-ule"matope" matupu, kishahongwa Magari Dubai huko, wanamnyima mtu mwenye akili kuliko watu wote Tanzania, Mwenyekiti Mbowe?
Duh! Ndo maana mbowe hatoki madarani kwasabu mnamtukuza Kama ndo mwenye akili kuliko wote, hii imesababisa akina lisu wa frustrate wapo wapo tu as if wanafukuza kuku, kwasasa akili ya mdude na lisu zipo sawa hawana tofauti.
 
Huna akili
Aroo, mimi wakiri msomi.

Anna Tibaijuka ndio hana akiri,miserable yake yote alimpa Karamagi amunue mikreni sasa haifanyi kazi bandarini. Hii mialabu imereta mikleni ya kisasa inabeba kontena kumi kwa mala moja.
 
Tuko 2025 tunatafuta kura za wanachi. Sera yetu tuliyoanza nayon2023 ilikuwa ya nchi kuuzwa.

Sasa tunaiona bado ipo, tuwaambie nini wananchi watupe kura zao?
Ss Wananchi tunataka mtwambie mmepeleka wapi hela za join the chain? Mwenyekiti mbowe anaachia ngazi lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…