Leo FaizaFoxy najivika rasmi joho la upinzani tena CHADEMA

Sasa sisi chadema, usisahau, hapo mimi ni kiongozi wa chadema. Natafuta cha kuwaambia wananchi wanipe kura.

Huyu mama wa kizanzibari anakaba mpaka penati, hata virungu hataki kutupiga tupate pakufokea. Aaaah .
Hapo bi mkubwa unatakiwa upambane na adui sahihi sio upinzania, tumewapa nchi mkaacha kutatua kero zetu mkapiga madili sasa hajui hata adui ni nani,mnafikiri ni chadema? Adui wenu ni watanzania kuwa masiki kwenye nchi tajiri pambana na dui sahihi sio chadema wala Lissu
 
Ukweli ndiyo huo.
 
Utawaambia hio yote ni kazi ya JPM. Wakupe chance ya kuboresha zaidi
Rakini kweri, Ingawa riritukandamiza milisasi, rikammfunga na mwenyekiti,tutatumia jina rake, mitanzania mijinga itatuamini tu.
 
Hakuna risasi aliyokukandamiza munamusingizia hadi wa leo hakuna ushahidi.
Rakini kweri, Ingawa riritukandamiza milisasi, rikammfunga na mwenyekiti,tutatumia jina rake, mitanzania mijinga itatuamini tu.
 
Wewe bi mkubwa nani?

Mimi tundu lussu nagombea ulaisi, unajuwa chadema mimi ndio mkatoriki, wengine hawa kkkt hawakubariki.
 

Unaelewa nini kutokana na mashauri haya kama ukiyatazama kwa jicho la kisiasa?
Sina muda nipo bize. Karamagi arinunua mikreni sasa haifanyi kazi, rabda tuirete bandari ya Muleba.
 
Kumbuka sasa ni 2025 tunataka kura za Watanganyika, tuwaambie nini?
 
Doh. Wengi sana, wanazaana kama panya. Halafu mavaa kobazi si yanaoa wengi wengi tu.

Dah hata misupu ya pweza si wariireta wao.

Na miarkisusi yote yao.
Wakishazaana mama zao wanawapeleka kwa Mtume Mwamposa kuwaombea Miujiza

Hii alikiri alhad Salum!
 
Hapo kwenye msisitizo, kwa haya yasioenda vizuri ni pamoja na hili la namna; mkataba wa DPW ulivyoingiwa. Je tenda ilitangazwa?
Tuliowapa dhamana ndio wanajua utaratibu walioutumia kutangaza Tenda,hata hivyo Elimu ya kutosha imetolewa kwa jamii kuhusu huu mkataba na labda wangeleta proposal kabla hawajaingia hata makubaliano ingekua vizuri zaidi.
 
Kwenye Gesi ya Mtwara wajawazito walitumbuliwa mimba kwenye maandamano , kwa madai kwamba wanatuchelewesha , leo kiko wapi ?

Ndio uwe huu uongo mpya ?
 
Nchi haijauzwa... Kila kitu kipo sawa. Uchumi wa kila mwananchi umeimarika!
Viongozi wanachapa kazi haijawahi kutokea!
Hakuna ubadhirifu
 


Ndo maana huolewi
 
Nchi haijauzwa... Kila kitu kipo sawa. Uchumi wa kila mwananchi umeimarika!
Viongozi wanachapa kazi haijawahi kutokea!
Hakuna ubadhirifu
Sasa tutapataje kura hapo? Tuwatukane mpaka kieleweke.

Au wewe CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…