Leo hii nimetapeliwa

Leo hii nimetapeliwa

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
2,035
Reaction score
2,715
Daaaah sona habari na nyiee...
Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5.
Screenshot_2023-01-07_145046.jpg
 
Matapeli wanaoongoza kutapeli ni hawa wa vifurushi na wale ambao wanasema wana uwezo wa kufanya ukajua mawasiliano ya mpenzi wako sms,calls n.k

Wanawapiga sn watu hizi 30,000, 20,000 n.k.Halafu hawataji hela kubwa
 
Back
Top Bottom