Leo hii nimetapeliwa

Leo hii nimetapeliwa

Mwingine uyu hapa alijifanya baba mwenye nyumba wakat hata kupanga sijapanga nikamuunganishia nione mwisho wake..ahhhhhhView attachment 2472180
Mimi bwana huwa nawapatia jamaa wa kupiga simu wanajifanya wako katika mitandao ya cm mualamala umekosewa
Namsikiliza anauliza kuna salio limeingia namwambia ndio,ananipa maelekezo najifanya nafuatilia vizur , basi anajua nimeingia king anapata natumaini,Ila dakika ya mwisho ndo namwambia acheni ujinga msipende vya dezo ,kwahasira anabaki kutukana na kukata simu
 
Daaaah sona habari na nyiee...
Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5.
View attachment 2472149
Hao jamaa nishakutana nao nikawaambia ebu nitumie walau GB moja Tu Kwanza niwaamini halafu natuma pesa wala usihofu,sound nyingi.

Nikamwambia haya ebu tuma hata vocha ya buku mbili nikuamini hola,nikaachana nao baadae wakawa wananitafuta pm lkn wakanishindwa na kukuta tamaa
 
Jamaa ame act kibwege sana. Yaani utapeli huo ni kama umetoka Muheza jana au Sitimbi. Mtoto wa Town unaamini upuuzi kama huo? Anyway APPROXIMATELY una tsh ngapi nimwoneshe sisi watu wa Pemba tunafanyaje... Atakutafuta namba uliyotumia kumtumia pesa si ipo hewani? Atakutafuta huku analia nakwambia. Nitumie tu namba yake na pia nitumie tsh 25,000 tu nimtumie Mtaalamu hapo Bagamoyo.
Kama anarogeka fresh
 
Back
Top Bottom