APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
- Thread starter
- #21
Huyu mbwa nikimjua na mchomeka vijitiMatapeli wanaoongoza kutapeli ni hawa wa vifurushi na wale ambao wanasema wana uwezo wa kufanya ukajua mawasiliano ya mpenzi wako sms,calls n.k
Wanawapiga sn watu hizi 30,000, 20,000 n.k.Halafu hawataji hela kubwa