Leo hii nimetapeliwa

Mwingine uyu hapa alijifanya baba mwenye nyumba wakat hata kupanga sijapanga nikamuunganishia nione mwisho wake..ahhhhhhView attachment 2472180
Mimi bwana huwa nawapatia jamaa wa kupiga simu wanajifanya wako katika mitandao ya cm mualamala umekosewa
Namsikiliza anauliza kuna salio limeingia namwambia ndio,ananipa maelekezo najifanya nafuatilia vizur , basi anajua nimeingia king anapata natumaini,Ila dakika ya mwisho ndo namwambia acheni ujinga msipende vya dezo ,kwahasira anabaki kutukana na kukata simu
 
Daaaah sona habari na nyiee...
Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5.
View attachment 2472149
Hao jamaa nishakutana nao nikawaambia ebu nitumie walau GB moja Tu Kwanza niwaamini halafu natuma pesa wala usihofu,sound nyingi.

Nikamwambia haya ebu tuma hata vocha ya buku mbili nikuamini hola,nikaachana nao baadae wakawa wananitafuta pm lkn wakanishindwa na kukuta tamaa
 
Kama anarogeka fresh
 
Acheni uvutaji wa bangi Ni hatari unaharibu ubongo Hadi unatamani vitu Rahisi
Pole Mkuu
Mbona hata baadhi ya wakubwa nasikia wanavutaga mboni hawajawa mapopoma kama mleta mada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…