Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Ni watoto wako
- Ndugu zako
- wazazi wako
- Mme wako
- Mke wako
- Wafanyakazi wenzako
- Mabosi wako
- Wanasiasa wenzako
- Wafanyabiashara wenzako
- Marafiki zako
- Viongozi wa dini yako
- Wana jf wenzako
- Walevi wenzako
- Wanafunzi wenzako, au nani?
Nipo hapa stendi ya mabasi, napata kahawa chungu na wakulungwa huku nikisubiri majibu yako.