Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #21
Atapata mbadala na kukusahauMke wangu
Atapata mbadala na kukusahauMke wangu
Nipo naye karibu sana hata kwamba hatuonani mara kwa maraKwa muda uliopo kuwa naye karibu
Unatuachia nini hapa duniani?Najua Ayatollah wa JF nikifa wana JF wote mtateseka kwa muda, lakini kadiri muda utakavyosonga mtazoea.
Basi kila moja aombe kutambuliwa nami kabla sijondoka duniani. 😎
Nitawafanya wote muwe na uelewa mkubwa wa mambo.Unatuachia nini hapa duniani?
😅😅😅Tumewakosea nini sisi Wana wa Kike wa Adamu 😜😜Watoto wataumia✅️
Mke ataolewa na kunisahau❌️
Ndugu tupo wengi, pengo linazibika.❌️
Kanisani watalia na kunisahau❌️
Kazini pengo litazibwa kabla sijazikwa❌️
Jf sina wa kunikumbuka, sijui hata kama watajua❌️
Marafiki warasikitika, ila wakishatoka kaburini watasahau❌️
Nipo nateseka moyoni, najitahidi kujisahaulishaSasa hivi wewe unateseka kwa sababu nani hayupo?😜
Jikaze BroNipo nateseka moyoni, najitahidi kujisahaulisha
Nikifa mke ana uhuru wa kuolewa, akishaolewa ni kuchezea dudu kila siku unadhani atanikumbuka?😅😅😅Tumewakosea nini sisi Wana wa Kike wa Adamu 😜😜
Watoto wataumia✅️
Mke ataolewa na kunisahau❌️
Ndugu tupo wengi, pengo linazibika.❌️
Kanisani watalia na kunisahau❌️
Kazini pengo litazibwa kabla sijazikwa❌️
Jf sina wa kunikumbuka, sijui hata kama watajua❌️
Marafiki warasikitika, ila wakishatoka kaburini watasahau❌️
Sio Kila dudu ni tamu 😜Nikifa mke ana uhuru wa kuolewa, akishaolewa ni kuchezea dudu kila siku unadhani atanikumbuka?
Mdaiwa akifa, na deni pia linakufa?Wanaonidai watapata depression ya ukweli.
Naifurahia leo mkuu!!Baada ya kuyajua yote hayo, kwa sasa unaishi maisha ya namna gani ili kupunguza hayo makali yanayokuja miaka ijayo?
Nikiwa karibu na wewe najua nitakuwa powa kabisaJikaze Bro
Ulishakubali kuolewa lazima maisha yaende!Sio Kila dudu ni tamu 😜