Leo hii ukiwa haupo duniani, unahisi ni nani atateseka kwa kutokuwepo kwako?

Hakuna atakayeteseka.

Lakini mama yangu, ndugu zangu wa4 wa kuzaliwa, 1 si wakuzaliwa na rafiki yangu mmoja wataumia sana, sana, sana.

Jana sikuwepo wasapu, nimepigiwa simu na msgs kama mvua aisee, nimetumiwa msgs insta na ticktock kote.

Mi sitaki kuondoka duniani, nifanyeje?
 
Madudu yenyewe Yana maumbo tofauti tofauti 😜
Na rangi tofauti tofauti na Ladha vilevile 😜
Kuna mengine machungu kama Limao
Kuna makali kama pilipili
Na matamu kama Pipi.

Inategemea ulikua unachezea wapi
Ili uendelee kuenziwa 😜
Maisha ni zaidi ya dudu we binti, unakutana na jamaa anakujali kuliko mareĥemu..hahaha utasahau kila kitu cha marehemu.
 
Hakuna atakayeteseka.

Lakini mama yangu, ndugu zangu wa4 wa kuzaliwa, 1 si wakuzaliwa na rafiki yangu mmoja wataumia sana, sana, sana.

Jana sikuwepo wasapu, nimepigiwa simu na msgs kama mvua aisee, nimetumiwa msgs insta na ticktock kote.

Mi sitaki kuondoka duniani, nifanyeje?
Umejichanganya, umesema hakuna atakayeteseka, meanwhile umetaja kundi la watu hapo!!😅😅
 
Hakuna atakayeteseka.

Lakini mama yangu, ndugu zangu wa4 wa kuzaliwa, 1 si wakuzaliwa na rafiki yangu mmoja wataumia sana, sana, sana.

Jana sikuwepo wasapu, nimepigiwa simu na msgs kama mvua aisee, nimetumiwa msgs insta na ticktock kote.
Hongera
Mi sitaki kuondoka duniani, nifanyeje?
Utaondoka no matter what
Huna cha kufanya zaidi ya kuzingatia afya ili magonjwa yasikuwahishe
 
Hakuna atakayeteseka.

Lakini mama yangu, ndugu zangu wa4 wa kuzaliwa, 1 si wakuzaliwa na rafiki yangu mmoja wataumia sana, sana, sana.

Jana sikuwepo wasapu, nimepigiwa simu na msgs kama mvua aisee, nimetumiwa msgs insta na ticktock kote.

Mi sitaki kuondoka duniani, nifanyeje?
Hiyo ya kutokutaka kuondoka duniani, sijui ni nani mwenye jibu sahihi.
 
Okay, japo kuteseka sio necessarily wawe tegemezi, ile mateso ya kihisia tu!!
Anhaa basi watapata tabu sana, mdogo wangu mmoja wa kike atapata dipresheni maana anajionaga mimi ni yeye.

Btw , mkeo atateseka, usifikiri atafurahia tu kesho yake aolewe. Nishaona hadi waume wanateseka wakifiwa na mke sembuse mke? Tunaonaga wanaume sio tegemezi na bado wanateseka.
 
Wanaume ndio tunapata shida hasa walioenda age kidogo.
 
Back
Top Bottom