HOLY SKANKA
JF-Expert Member
- Dec 30, 2025
- 1,178
- 2,131
Wakina chifu mangungo, hawakuendana na mazingira?
Na Ndiyo Maana Walikufa...
Wakina chifu mangungo, hawakuendana na mazingira?
Niongeze hapo twin 🤣🤣Wanaonidai watapata depression ya ukweli.
😅😅 karibu kwenye chama la wadaiwa sugu international!Niongeze hapo twin 🤣🤣
Nini kifanyike ili tuweze kuendana na mazingira, angalau tufikishe miaka 200 ya kuishi?Na Ndiyo Maana Walikufa...
What am I doing here?🤷🏽♀️
Kwa wanaonufaia kwa uwepo wako sasa hivi ni kina nani?Mimi sijui maana sitakuwepo
Umeliona mapema hilo mkuuFamilia yangu, hasa binti yangu
Aaah kwa mantiki hio hamna wengine zaidi ya familia yanguKwa wanaonufaia kwa uwepo wako sasa hivi ni kina nani?
Me wazazi wangu na wadogo zangu aisee mana kuna vitu kede kede nimewaahidi kuwafanyia
Ni watoto wako Ndugu zako wazazi wako Mme wako Mke wako Wafanyakazi wenzako Mabosi wako Wanasiasa wenzako Wafanyabiashara wenzako Marafiki zako Viongozi wa dini yako Wana jf wenzako Walevi wenzako Wanafunzi wenzako, au nani?Nipo hapa stendi ya mabasi, napata kahawa chungu na wakulungwa huku nikisubiri majibu yako.
hakuna atakaeteseka sababu wote tunakufa kwanini uweke tumaini kwangu kama tegemeo
Ni watoto wako Ndugu zako wazazi wako Mme wako Mke wako Wafanyakazi wenzako Mabosi wako Wanasiasa wenzako Wafanyabiashara wenzako Marafiki zako Viongozi wa dini yako Wana jf wenzako Walevi wenzako Wanafunzi wenzako, au nani?Nipo hapa stendi ya mabasi, napata kahawa chungu na wakulungwa huku nikisubiri majibu yako.
Hamna atakayeteseka.

Stress freeKwa hiyo unaishije baada ya kulitambua hilo?
Miss darling,usinifanyie hivyo.Nitakufa kihoro ujue?Atateseka Moisemusajiografii
🤣Kanji lazma ayumbe