Leo hii ukiwa haupo duniani, unahisi ni nani atateseka kwa kutokuwepo kwako?

Mimi ni yule mtoto wangu kila nikija nimepga vyangu kanauliza nipe chenji iliyobaki kanaenda kutunza. Nakumbuka kuna kipindi kalitunza hadi laki 4 na nusu mashilingi tu
 
  • Ni watoto wako (hawa watarelax sana na Mama yao)
  • Ndugu zako(Hawa ndiyo kabisa..kwa sababu hata simu inaweza pita miaka 2, nikifa ni sawa tu kwao)
  • wazazi wako (sijui mtazamo wao ila naona hakuna kukumbuwa hapo)
  • Mme wako (Mimi ni njemba, Wanaume tumeumbwa mateso)
  • Mke wako (huyu mapema sana nilishamsoma hawezi hata kulia nikifa labda kuzuga watu waone kama amefiwa)
  • Wafanyakazi wenzako (Hawa wanatamani hata nifukuzwe kazi muda huu)
  • Mabosi wako ( hawana habari na Mimi kabisa, naishi nao Kimakaveki "never outshine your master")
  • Wanasiasa wenzako (wanasiasa siyo wa kuwaamini, halafu Mimi siyo mwanasiasa)
  • Wafanyabiashara wenzako(Hawa wana wivu tu na kurogana hakuna kitu cha maana)
  • Marafiki zako (wapo kimkakati, wakikosawanachotaka imeisha hiyo)
  • Viongozi wa dini yako (Dini siyo ya kutegemea sana bwashee hata michango tu ya harusi kadi ya 30,000/= mtu anapiga kelele na ni watu wa maneno maneno sana)
  • Wana jf wenzako( tunatiana moyo wakati fulani ila nikiondoka imetoka hiyo, sidhani kama watakumbuka kitu)
  • Walevi wenzako( Mimi si mlevi kabisa)
  • Wanafunzi wenzako, au nani?( Mimi si mwanafunzi)
Aisee, maisha ni mafupi tuishi chap
 
Hapo kwa mkeo mkuu kama ndivyo mlivyo basi huna mke hapo na pole sana!
 
Back
Top Bottom