Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
😁😁 Natakiwa niwe nakukumbusha ujue kunithamini nikiwa haiMiss darling,usinifanyie hivyo.Nitakufa kihoro ujue?
😁😁 Natakiwa niwe nakukumbusha ujue kunithamini nikiwa haiMiss darling,usinifanyie hivyo.Nitakufa kihoro ujue?
Ni watoto wako Ndugu zako wazazi wako Mme wako Mke wako Wafanyakazi wenzako Mabosi wako Wanasiasa wenzako Wafanyabiashara wenzako Marafiki zako Viongozi wa dini yako Wana jf wenzako Walevi wenzako Wanafunzi wenzako, au nani?Nipo hapa stendi ya mabasi, napata kahawa chungu na wakulungwa huku nikisubiri majibu yako.
Sijasahau wala kutelekeza majukumu yangu adhimu asilani abadani.Hakika tupo bumper to bumper mpaka "Nyumba-nitu" kuwasabahi wahenga.😁😁 Natakiwa niwe nakukumbusha ujue kunithamini nikiwa hai
🤣🤣🤣 Nyumba nitu tenaSijasahau wala kutelekeza majukumu yangu adhimu asilani abadani.Hakika tupo bumper to bumper mpaka "Nyumba-nitu" kuwasabahi wahenga.
Nilipitiwa.Ni kwa paroko Kibena kwenda kurudia ahadi/kiapo chetu.🤣🤣🤣 Nyumba nitu tena
Ahaa nikajua unaenda kuniroga 😁Nilipitiwa.Ni kwa paroko Kibena kwenda kurudia ahadi/kiapo chetu.
Kama kukufanyia ulozi basi ntazidisha unipende na tupendane hadi tuwe mazuzu/the cadava love-birds!Ahaa nikajua unaenda kuniroga 😁
Kwa sababu zipi?Atateseka Moisemusajiografii
Sababu ni zipi?Hakuna
Hakuna zaidi zaidi wazazi wangu wataumia tuu ila hawatoteseka kisa mimi
Ananionea sana mkuu.Ila asidhani nitakoma.Sikomi hata iweje labda nitwaliwe uwinguni.Kwa sababu zipi?
Utayaacha hayo bila kuyatumiaHaya mapazia yanafikiri bado yapo Dukani,
Coz toka nimeyanunua sijawahi kuyafungua ili niyafue.
Sababu ni zipi?Kuteseka ni wanangu, kusononeka hawana idadi, ni wengi mno!
InafikirishaWatoto hasa binti zangu mke wangu na michepuko yangu itaolewa na kwa mbali labda wazee na dada yangu ila baada ya kula ubwabwa watasahau.
Ila tupambane tuombe uzima tuache legacy
Nazijua mimiKwa sababu zipi?
Ole wako utaje!Nitalia sana.Nazijua mimi
Sababu ni zipi?
Hapa tuzungumzie watoto wadogo ambao tumewaleta duniani, wakiwa wakubwa Sasa ni uamuzi wao wafanye wanavyotakaKuna watoto wengine huwa wanatelekeza wazazi wao, hao wanaweza kuwa na uchungu kweli?