Kwa nini hakuna?Hakuna atakayeteseka.
Machungu upate kwingine uje mimi nikutoe.Nikiwa karibu na wewe najua nitakuwa powa kabisa
Kwa nini hakuna?Hakuna yoyote ✔️
Wakina chifu mangungo, hawakuendana na mazingira?
Mimi Ndio Nitateseka Zaidi Kwanini Nimekufa...??
Ukiona Umekufa Ujue Umeshindwa Endana Na Mazingira......
Madudu yenyewe Yana maumbo tofauti tofauti 😜Ulishakubali kuolewa lazima maisha yaende!
Ndivyo maisha yalivyo, ingawa huwa tunajisahaulisha nakutendea wengine unyama.Inasikitisha sana.
Inategemea kama alikuwa na insurance au dhamana.Mdaiwa akifa, na deni pia linakufa?
Sijipi umuhimu kwenye maisha ya mtuKwa nini hakuna?
Hela ya nini sasa?Machungu upate kwingine uje mimi nikutoe.
Kwangu njoo na Raha na hela 😜
Kwa sasa inabidi uwapelekee miti tu ya kuoteshaMademu zangu
Vipi kuhusu vifaranga wako (watoto)Sijipi umuhimu kwenye maisha ya mtu
Yeye ndiyo anaweza kusema kama nisipokuepo kuna maumivu au lah!
Huwa napenda binti yangu akiniuliza huku akicheka"rafiki yangu umepoa mama kakununia nini?"Familia yangu, hasa binti yangu
Ndo itakufanya ukumbukwe 😜Hela ya nini sasa?
Wewe Tena 😅Wanaonidai watapata depression ya ukweli.
Itabidi kwenye shoo nipambane kwelikweli ili niache alamaNdo itakufanya ukumbukwe 😜
Kwa sababu hata kwa msiba wako kama hakuna Hela
Watu wataona wanapoteza muda tu.
Sasa kwanini mtu ateseke kwa ajili yangu? Huzuni itapita maisha yataendelea. Au wewe utafurahia watu wakiteseka ukifa?Kwa nini hakuna?