Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
umemnukuu Magufuli.Nchi ya Cape/Cabo Verde ina watu laki sita tu, na wale wanaoishu nje ya nchi ni wdngu kuliko wale wanaoishi ndani ya nchi. Tanzania tuko milioni sitini, ni wengi mara Mia kuliko Cape Verde lakini tumekosa kupata watu 30 tu katika hao 60,000,000 wanaoweza kutuvusha kisoka tukafuzu world cup!
Huwezi kulinganisha Cape Verde inayonolewa na kocha bora afrika 2025 na hao Curacao na Tunisia kwa sasa! Ni kweli haifahamiki sa a kisoka lakini msifumbe macho: Cape verde omeshinda mechi sita kati ya saba za kufuzu kombe la dunia
Na wewe pia usifananishe Spain waliowahi kuwa mabingwa na Cape Verde ambao wenyewe ndio kwanza wamefuzu kwa mara ya kwanzaHuwezi kulinganisha Cape Verde inayonolewa na kocha bora afrika 2025 na hao Curacao na Tunisia kwa sasa! Ni kweli haifahamiki sa a kisoka lakini msifumbe macho: Cape verde omeshinda mechi sita kati ya saba za kufuzu kombe la dunia!
Nimesema kuna uwezekano mkubwa kama asilimia 90% kuwa Hispania atakufa leo!!Na umesema watamfunga spain
Unakumbuka aliyoyafanya Senegal kombe la dunia 2002 japo walikuwa wamefuzu kwa mara ya kwanza! Hiyo hoja yako ni dhaifu!! Muda huu ni mapumziko na huyo mwenye historia ya kuwa bingwa bado hajauona mlango!! Tusikimbiane baada ya dk 90 ni hilo tu!Na wewe pia usifananishe Spain waliowahi kuwa mabingwa na Cape Verde ambao wenyewe ndio kwanza wamefuzu kwa mara ya kwanza
Acha mbwembwe msubirie YamalHivi
Unakumbuka aliyoyafanya Senegal kombe la dunia 2002 japo walikuwa wamefuzu kwa mara ya kwanza! Hiyo hoja yako ni dhaifu!! Muda huu ni mapumziko na huyo mwenye historia ya kuwa bingwa bado hajauona mlango!! Tusikimbiane baada ya dk 90 ni hilo tu!
Mziki wa Cape Verde sio poa! 🇨🇻🇨🇻Kama kuna maajabu nahisi dunia itayashuhudia leo ni Cape Verde kumkomalia Hispania!! Ķuna uwezekano mkubwa sana (90%) Cape Verde akaibuka kidedea mechi ya leo kombe la dunia!! Huu uzi ukisinzia nina uhakika utaamshwa baada ya kipyenga cha mwisho!!
Haya niambie! Yamal aliingia au hakuingia! Kaambulia nini? Tatizo watu wamekariri! Hawaoni vitu vipya vinavyokuja! Wachambuzi makini walishaiona inavyokuja Cape Verde na hawashangai alivyomkomalia hispania Kwanza nasema kweli hispania ashukuru sana kwa sare hiyo, ilikuwa apasuke!!Acha mbwembwe msubirie Yamal
Hawana mziki sema Spain sijui walikula harage la wapi hili.Kama wakicheza hivi tena wajiandae kufungasha virago mapemaSio
Mziki wa Cape Verde sio poa! 🇨🇻🇨🇻
Spain watatoka hatua ya makundiHawana mziki sema Spain sijui walikula harage la wapi hili.Kama wakicheza hivi tena wajiandae kufungasha virago mapema
Spain apasuke kwa on target moja kuwa serious man sema tu Spain walikuwa wazito basi lakini Cape verde hamna kitu.Hii inaweza kuwa point kapata.Haya niambie! Yamal aliingia au hakuingia! Kaambulia nini? Tatizo watu wamekariri! Hawaoni vitu vipya vinavyokuja! Wachambuzi makini walishaiona inavyokuja Cape Verde na hawashangai alivyomkomalia hispania Kwanza nasema kweli hispania ashukuru sana kwa sare hiyo, ilikuwa apasuke!!
Wakiendekeza huu upimbi wao Saudia atawapasua.Yangu machoSpain watatoka hatua ya makundi
Hamna sio mimi asee.Labda utakuwa umekoseaUlisema Cape Verde ataibuka kidedea aya wapi ameibuka Kidedea wakati ameponea chupuchupu
Hata hivyo sijafurahi
NimevurugwaHamna sio mimi asee.Labda utakuwa umekosea
Ulisema Cape Verde ataibuka kidedea aya wapi ameibuka Kidedea wakati ameponea chupuchupuHaya niambie! Yamal aliingia au hakuingia! Kaambulia nini? Tatizo watu wamekariri! Hawaoni vitu vipya vinavyokuja! Wachambuzi makini walishaiona inavyokuja Cape Verde na hawashangai alivyomkomalia hispania Kwanza nasema kweli hispania ashukuru sana kwa sare hiyo, ilikuwa apasuke!!