Leo Hispania atajua kuwa jana siyo leo!!: Go Cape/Cabo Verde Go!!

Hawa huwa wanaendeshwa na mihemko. Yaani wanatoa conclusion kutokana na kile wanachoona on paper, wanasahau kuwa inaweza isikupe matokeo kulingana na uzani wa karatasi.

FT 0-0, Cape Verde GK POTM
 
Spain apasuke kwa on target moja kuwa serious man sema tu Spain walikuwa wazito basi lakini Cape verde hamna kitu.Hii inaweza kuwa point kapata.
Ujue kwa wasiofuatilia mwenendo wa soka la kimkakati, Cape Verde ndio walidhani ndio nchi ya kufungwa na kila timu kwenye kundi hili! Nina uhakika baada ya mechi hii mtazamo huu umeyeyuka kama nta kwenye moto!!
Nina uhakika Saudi Arsbia na Uruguai watapasuka kirahisi na lazima Cape Verde isonge mbele, kama si kwa kuongoza kundi basi kwa kushika nafasi ya pili. Hispania ni hatihati kwa Uruguai
 
Kaka huu ujinga kafanya Spain tu.Kwa Saudia sitaki kuongea sana lakini Uruguay anawapasua vizuri
 
Idadi ya watu haina effect
Cha muhimu vipaji, China na India kila moja zina watu 1B+ lakini hawakufuzu
 
Tulia wewe leo imetokea tu sio kusema kwamba Cape Verde wapo vizuri
 
Cape verde mnawachukuliaje lakin
Cape verde wamekuwa na nidhamu ya kulinda kwa hawa washenzi lakini sina uhakika hii nidhama kama itawaweka salama game zijazo.Spain wale washenzi walikuwa wanacheza kama magodfather.Huu upimbi naomba Spain akafanye kwa Saudia atajua mpira ni kitu gani au kwa Uruguay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…