mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
- Thread starter
-
- #81
Bora wewe unashangaa ya Cape Verde,Mimi nimeshangaa kuona nchi kama Haiti ikishiriki kombe la dunia wakati nchi Haina utulivu kwa sasa kwa zaidi ya Miaka mitano.Nchi ya Cape/Cabo Verde ina watu laki sita tu, na wale wanaoishu nje ya nchi ni wdngu kuliko wale wanaoishi ndani ya nchi. Tanzania tuko milioni sitini, ni wengi mara Mia kuliko Cape Verde lakini tumekosa kupata watu 30 tu katika hao 60,000,000 wanaoweza kutuvusha kisoka tukafuzu world cup!
Cape verde ajitahidi kuzuia tu magoli yasiwe mengi
Bado mpo hapa jamvini au mmeingia mitini? Kiko wapi?Chini ya goli 5, Spain watatakiwa wajitafakari.
Atabeba kombe kwa historia yake au kwa kiwango chake alichokionesha leo cha kushindwa kuifunga (kama tulivyotarajia kwa usahihi) Cape Verde isiyo na historia yoyote kwenye kombe la dunia? Niambie kwa nini kocha wa hispania alinuna mwanzo mwisho?Spain anabeba hili kombe
Alidharau sana aliona ni simple match sana kwake. Timu ikifudhu w cup sio ya kuchukulia poa.Lamine hayuko fit.
Spain anabeba hili kombe
Nina uhakika hujaifuatilia Cape Verde katika safari yake kuelekea kombe la dunia! Ngoja nikupe kidogo:Tulia wewe leo imetokea tu sio kusema kwamba Cape Verde wapo vizuri
Muombee tu avuke makundi hili timu la Spain halina malengo.Wamecheza vitu gani hivi.Unamiliki mpira nusu ya dimba unamaliza dakika 90 plus 5 hakuna goli si ushenzi huuSpain anabeba hili kombe
Hamna kitu!Nina uhakika hujaifuatilia Cape Verde katika safari yake kuelekea kombe la dunia! Ngoja nikupe kidogo:
1. Kati ya mechi 7 kufuzu fainali ya kombe la dunia imeshinda mechi 6. Unaweza kusema pia imetokea tu?
2. Kocha wake ndiye aliyebeba tuzo ya kocha bora wa Afrika kwa mwaka 2025. Useme nayo imetokea tu?
Unaona jinsi kocha alivyomuuliza kocha mwenzake maswali magumu na hakuwa na majibu?
Kubalini tu kumpa Cape Verde maua yake!
Lakini kuliko yote MUNGU wa mbingu na nchi alikuwa pamoja na Cape Verde! Nimeiombea, utukufu wote kwa MUNGU!
Mimi ni yule mmoja kati ya kumi tuliobisha, sahivi ndo nimekuelewaBado mpo hapa jamvini au mmeingia mitini? Kiko wapi?
Bila shaka team hispania mmelazimika kukubali kuwa JANA siyo leo!! Zama za kuogopeshwa na sifa kwenye makaratasi zimepitwa na wakati!
Ina maana leo amecheza mechi na mwafrika mwenzake? Kiko wapi? Hispania maji yalikuwa shingoni na kocha wake alinuna mwanzo mwisho!Hamna kitu!
Wewe unaongelea mechi na waafrika wenzao
Mimi sio SpainIna maana leo amecheza mechi na mwafrika mwenzake? Kiko wapi? Hispania maji yalikuwa shingoni na kocha wake alinuna mwanzo mwisho!
Huwa mnapenda ubishi sana😆Na wewe pia usifananishe Spain waliowahi kuwa mabingwa na Cape Verde ambao wenyewe ndio kwanza wamefuzu kwa mara ya kwanza
China ameshawahi kufuzu world cup lakiniIdadi ya watu haina effect
Cha muhimu vipaji, China na India kila moja zina watu 1B+ lakini hawakufuzu
Nina uhakika hujaifuatilia Cape Verde katika safari yake kuelekea kombe la dunia! Ngoja nikupe kidogo:
1. Kati ya mechi 7 kufuzu fainali ya kombe la dunia imeshinda mechi 6. Unaweza kusema pia imetokea tu?
2. Kocha wake ndiye aliyebeba tuzo ya kocha bora wa Afrika kwa mwaka 2025. Useme nayo imetokea tu?
Unaona jinsi kocha alivyomuuliza kocha mwenzake maswali magumu na hakuwa na majibu?
Kubalini tu kumpa Cape Verde maua yake!
Lakini kuliko yote MUNGU wa mbingu na nchi alikuwa pamoja na Cape Verde! Nimeiombea, utukufu wote kwa MUNGU!
Akili za kubeti hiziHamna kitu!
Wewe unaongelea mechi na waafrika wenzao