Leo ilipaswa kuwa mwaka 2031, Error katika upangaji wa Calender imetufanya tuwe 2024

Nimekupata Ila physics ama sayansi sio ngumu Kama ukiielewa na sio kukariri ili ufaulu mtihani
 
pamoja mkuu ✊, ila inatokana na interested labda, maana utakuta kuna mtu anaweza kuangalia movie hata siku nzima, mwingine akiangalia kidogo anapoteza attention, attention inaenda kwenye kuwaza vingine ambavyo vimeizidi movie kwenye interest zake
 
Kwenye movies hapo ndo ugonjwa wangu aiseere
 
Mtaalamu nyota tunaziona zikingara ni hizi za akina Jupiter au ni galaxies zenye solar system ambazo ziko mbali sana

Hebu kuwa makini na elimu yako hii mpya usitingize mkenge
 
Mtaalamu nyota tunaziona zikingara ni hizi za akina Jupiter au ni galaxies zenye solar system ambazo ziko mbali sana

Hebu kuwa makini na elimu yako hii mpya usitingize mkenge
nyota ni hizi ndio ila kuhusu nyota iliyoonekana iking'aa sana angani Bethlehem kipindi hicho probably ni triple conjunction ya Jupiter na Saturn iliyotokea 7BC

ikiangaliwa kutoka duniani inaonekana kama nyota inayong'aa sana, na haidumu inapotea baada ya sayari kupishana
 
amezaliwa arround hiyo miaka, yaani kwenye kujua mwaka sahihi ndo changamoto ndo maana wameandika hivyo

naamini hata babu yako tu hajui mwaka wake sahihi aliozaliwa anakadiria,
kwaiyo ndo maana ipo hivyo
 
Kwani yesu alikuja ili ahubiri miaka na tarehe yakuzaliwa kwake?.Hayo mambo ya miaka niyakwetu binadamu katika kujiwekea kumbukumbu wala hayamuhusu.
 
Kwani yesu alikuja ili ahubiri miaka na tarehe yakuzaliwa kwake?.Hayo mambo ya miaka niyakwetu binadamu katika kujiwekea kumbukumbu wala hayamuhusu.
Hujaelewa somo.

Yesu ni mtu tu, wala hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Mungu huyo angekuwapo, kusingekuwa na makosa ya kuhesabu chochote, sembuse makosa ya kuhesabu kalenda ya kuanzia kuzaliwa kwa mwana wa Mungu.

Umeelewa?
 
Mungu hahusiki, kwa sababu hayupo.

Angekuwapo, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, hata calendar zisingekuwa nyingi.

Ingekuwa moja tu ya Mungu.

Kuwepo kwa kalenda nyingi nako ni ushahidi Mungu hayupo.
Mungu anahusika nini na calenda za binadamu?.Mungu kaumba usiku na mchana.je nawenyewe huuoni huo uumbaji wake?.Kama kweli huuoni basi ni kweli Mungu hayupo.
 
Mungu anahusika nini na calenda za binadamu?.Mungu kaumba usiku na mchana.je nawenyewe huuoni huo uumbaji wake?.Kama kweli huuoni basi ni kweli Mungu hayupo.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hahusiki na kalenda za watu.

Kwa sababu hayupo. Na wewe hujathibitisha kwamba yupo.

Angekuwepo, angehusika nazo kwa sababu yeye ndiye angekuwa mwenye control ya kila kitu kuhusu kila kitu.
 
Wewe ndiye uelewi kwasababu unahusisha mambo ya binadamu na mambi ya yesu au Mungu.Vile alivyoumba Mungu viko hivyo dunia nzima ila vyabinadamu ndivyo vinavyobadilika.Sasa nakushangaa unapovihusisha vya binadamu na Mungu.
 
Jambo la kwanza kabisa, hujathibitisha Mungu yupo.

Unaongea habari ya Mungu kuwapo kiimani bila uthibitisho.

Thibitisha Mungu yupo kweli.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hahusiki na kalenda za watu.

Kwa sababu hayupo. Na wewe hujathibitisha kwamba yupo.

Angekuwepo, angehusika nazo kwa sababu yeye ndiye angekuwa mwenye control ya kila kitu kuhusu kila kitu.
Mungu anashughulika na mambo ya msingi.na alishayaweka kwenye kanuni yanajiendesha yenyewe na iko hivyo dunia nzima kwa viumbe vyote kila kiumbe kwa jinsi yake.Mambo ya kibinadamu wala hayana msingi kwake hadi aangaike nayo.
 
Nakwambia hivi, hujathibitisha Mungu yupo.

Unapiga hadithi za imani tu, Mungu hivi, Mungu vile.

Thibitisha Mungu yupo kwanza tujue yupo kweli na habari za kuwapo kwake si hadithi tupu tu.
 
Nakwambia hivi, hujathibitisha Mungu yupo.

Unapiga hadithi za imani tu, Mungu hivi, Mungu vile.

Thibitisha Mungu yupo kwanza tujue yupo kweli na habari za kuwapo kwake si hadithi tupu tu.
uthibitisho wake utaupata ukiangalia jinsi vitu vyote vilivyokua aligned perfectly, kuanzia tu kwenye mwili wako jinsi unavyofanya kazi kwa viungo kushirikiana zaidi ya mashine, mfano unaweza kupokea mawimbi ya sauti ukajua ujumbe na ukajibu

jinsi jinsia mbili ya kike na ya kiume zinavyoshirikiana kwa kutaka in nature kabisa na kuzaa,, in nature tuu jinsi utavyomlinda mtoto au uzao wako

jinsi tukivyokuta mazingira yapo tayari, kuna oxygen, maji na kilakitu dawa na virutubisho vyote vinavyoendana na mwili

kama hizo factors hizi chache hazikuaminishi kua Mungu yupo...

Je factors kama unazoziongelea ambazo pia ukiziangalia ni dhahiri kwamba zimezidiwa mashiko zitakuaminishaje kwamba hayupo ?
 
Nakwambia hivi, hujathibitisha Mungu yupo.

Unapiga hadithi za imani tu, Mungu hivi, Mungu vile.

Thibitisha Mungu yupo kwanza tujue yupo kweli na habari za kuwapo kwake si hadithi tupu tu.
Mkuu ili ujue Mungu yupo au hayupo fanya zoezi dogo tu ziba pua na mdomo usipumue kwa lisaa limoja tu ukitoka hapo utapata jibu mujarabu kabisa

Usijibu hoja yangu hadi ufanye ivo kwanza hiyo ndio njia pekee ya kujua kama kweli Mungu yupo au hayupo ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…