Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Kila VPN ina changamoto zake boss!!
Ila Usizime simu we igia tu setting ya simu alafu chagua hiyo app utapewa option ya "Uninstall na Force stop" we chagua hiyo force stop then fungua app uendelee na mkamuo
Shukarani mkuu nime ku pm kuna vpn nimekutumia uko cheki kama unaweza ifanyia muafaka tuishi nayo
 
Mkuu hio Thor server kwangu haipo naomba kufahamishwa naipataje


Kama inavyoonekana hapo
 
Imeconnect iko fresh ila inakata dakika 2 haziishi mpaka uclear cache uunge tena.
 
Mkuu hapo kwenye halotel unatumia vpn gani, naomba maelekezo nami nilambe asali kidogo
 
Shuk
Shukran
 
Mkuu sorry, nimefata link uliyoweka nika download vpn, then kwenye ku install kwenye simu inaniambia file not supported itakua tatizo nini hapo mkuu, msaada wako please
 
View attachment 2316501. Nimesha connect na ipo sasa in surf , vip ni server namba ngapi ipo goood nikikonekt now ili nile asali na mm , hints natumia TIGO internet inaisha kesho saa 5 asubui
Mkuu Lexus SUV nipe muongozo kuhusu hii, yaan nimeshapakuwa App Sasa nifanye nini Hadi ifanye kazi.. itakuwa poa sana maana sielewi lolote hii kitu nimebaki kuingilia tu App Sina pa kuanzia
 
Mkuu mimi inanambia engine local socket bind failed... Natatuaje hii changamoto?
Force stop then fungua App uconnect
Kama bado jaribu kuset hivi:-
R-UDP 76
L-UDP 0
UDP CONNECTION MODE-1
T-COUNT 3 au 03
R-COUNT 1000
Ikifanya kazi leta mrejesho hapa coz sina Android natumia PC hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…