Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Asante sana mkuu.
 
Yaani mkuu[emoji23][emoji23]
Nikajua ime connect, nikazama YouTube kucheki movie! Dakika kama 15 nimeletewa sms kutoka TTCL ya kubakiza MB 15 kutoka GB 1

Mwanzisha uzi utakufa kifo cha mende [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa kwenye kuchagua server za Thor hacker ndio nimebaki njia panda,msaada tafadhali Bwana Mkubwa SPYMATE
 
unatumia vpn ipi mkuu ya kulipia au ni zile za kuunganisha na laini only mfano ukiwa na TTCL uka-download app ya wire tun unakula maisha kimya kimya..
 
Kwani mmeshindwa kabisa kutengeneza wi-fi server ya sumaku na nyembe? Hadi muanze kudanganyana namna hii? Mi ndo ninayotumia, sema speed yake ni 2G ispokuwa kuanzia saa saba usiku to saa 11 alfajiri, inakuwa 3G
MKUU ENEDELEA KUNUNUA VOCHA MAKASIRIKO YA NINI SASA
 
vp umejaribu kwa kutumia laini ya ttcl maana kwangu inakubali ku-safu kwenye social media youtube,twitter & JF
Sina Ttcl kina mwana nilimpa maujanja nae ananiambia analeta kwa Ttcl kama kaweka bando sasa nitafanya mpango nisajili kama nilivyosajili Tigo kea ajili ya SkyVpn na Ec Tunnel pro zilikua hazikwami mdau wowote kama umeweka Mb vile
 
Mkuu hulitendei haki jukwaa[emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…