Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Tuanzie barazani kwenyewe. Huko kuna Waziri wa Utani na vichekesho. Hii wizara haipo nchini atenguliwe mara moja.Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya.
Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama?
DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona? Wakuu wa vyombo vya ulinzi watapona baada ya kauli ya CDF?
Kuna kelele za wafanyakazi wa bandari, kuna Mwendokasi na kukatika kwa maji.....je wenye dhamana watabaki salama?
Kila la kheri Baraza la Mawaziri
Janabi alitukomboa.CDF kasemaje.?
We MaghayoJanabi alitukomboa.
Hakuna jipya. Nakushauri uache kufuatilia ujinga wa mafisi CCM kama huu kwa sababu hata wakipanguana namna gani hakuna mabadiliko kwenye utendaji.Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya.
Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama?
DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona? Wakuu wa vyombo vya ulinzi watapona baada ya kauli ya CDF?
Kuna kelele za wafanyakazi wa bandari, kuna Mwendokasi na kukatika kwa maji.....je wenye dhamana watabaki salama?
Kila la kheri Baraza la Mawaziri
CCM WOTE HAWAFAI KUONGOZA TAIFA HILIVikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya.
Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama?
DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona? Wakuu wa vyombo vya ulinzi watapona baada ya kauli ya CDF?
Kuna kelele za wafanyakazi wa bandari, kuna Mwendokasi na kukatika kwa maji.....je wenye dhamana watabaki salama?
Kila la kheri Baraza la Mawaziri
Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya.
Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama?
DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona? Wakuu wa vyombo vya ulinzi watapona baada ya kauli ya CDF?
Kuna kelele za wafanyakazi wa bandari, kuna Mwendokasi na kukatika kwa maji.....je wenye dhamana watabaki salama?
Kila la kheri Baraza la Mawaziri
Mzee Mayalla ajichunguze, katika chovya chovya zake za ujanani itakuwa kuna sehemu alichomeka yenye gundu kubwa mno kupelekea kutembea na hilo gundu mpaka uzeeni.
Ndumbaro hachomoiVikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya.
Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama?
DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona? Wakuu wa vyombo vya ulinzi watapona baada ya kauli ya CDF?
Kuna kelele za wafanyakazi wa bandari, kuna Mwendokasi na kukatika kwa maji.....je wenye dhamana watabaki salama?
Kila la kheri Baraza la Mawaziri
Hata wafanye vikao 1000 bado hali tete kwao ufisadi mkubwa wa kutisha mpka 2025 watakua wamemeza motoVikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya.