Leo kinafanyika kikao cha baraza la Mawaziri; unadhani wakuu wa taasisi watabaki salama au kuna pangua pangua inakuja?

Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya.

Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama?

DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona? Wakuu wa vyombo vya ulinzi watapona baada ya kauli ya CDF?

Kuna kelele za wafanyakazi wa bandari, kuna Mwendokasi na kukatika kwa maji.....je wenye dhamana watabaki salama?

Kila la kheri Baraza la Mawaziri
Kusanyiko la useless combinations
 
Hakuna jipya hapo,sana sana wameelekezwa namna ya kula kwa urefu wa kamba zao,pasipo kuleta TAHARUKI kwa wadanganyika
 
Ni rahisi kubadili badili baraza la mawaziri kadri utakavyo, RCs, DCs na political cadres zingine lkn siyo wakuu wa taasisi na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Back
Top Bottom