Sahihi Mkuu, Huyo nae Shehe ni kumwombea,afunguke kichwa!Kuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo.
Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu.
Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.
Matayo 5: 44 - 45. Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na watu wema.
Mbona kama watia huruma vile! Ushakata tamaa nn!Kuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo.
Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu.
Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.
Matayo 5: 44 - 45. Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na watu wema.
kina Ndunguru watuambie leoHivi hukumu huchukua muda gani kutoka
Kwahiyo wote wanaoenda msikitini kuomba huwa wamekata tamaa wanatia huruma.Mbona kama watia huruma vile! Ushakata tamaa nn!
Kila la kheri kwa Mtumishi wa Mungu LissuKuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo.
Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu.
Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.
Matayo 5: 44 - 45. Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na watu wema.
Hapo umeweka vidole juu na kikanzu chako dogo sio?Acha kutia huruma kamanda
Ndio niniHapo umeweka vidole juu na kikanzu chako dogo sio?
AminaKila la kheri kwa Mtumishi wa Mungu Lissu
muhalifu na mtuhumiwa uhaini aombewe pesa, msamaha au nini gentleman?Kuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo.
Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu.
Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.
Matayo 5: 44 - 45. Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na watu wema.
Baada ya submissions za leo (utetezi na mashtaka), hukumu inaweza kutolewa tarehe 25 mwezi huu! I can't wait to see someone is being hanged! Ahahahahaha!!Hivi hukumu huchukua muda gani kutoka
Unaua ili kuunda serikali.muhalifu na mtuhumiwa uhaini aombewe pesa, msamaha au nini gentleman?
be specific,
kwa Mungu hakuna mbambamba kwa waliokosa utii kwa sheria na serikali za wanadamu zilizotoka kwa Mungu mwenyewe.
Soma,
Warumi 13:1 na kuendelea na itakusaidia sana 🐒
Kesi ya maelekezo inajulikana tangu lini tukawa na Mahakama zinazojielewa hapo Tanganyika??Baada ya submissions za leo (utetezi na mashtaka), hukumu inaweza kutolewa tarehe 25 mwezi huu! I can't wait to see someone is being hanged! Ahahahahaha!!
Samia apoombewa huwa anatia huruma.Acha kutia huruma kamanda