Huyo mwaipopo ni muhuni tu hana sifa za uongoziKuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo.
Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu.
Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.
Matayo 5: 44 - 45. Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na watu wema.
AmenKuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo.
Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu.
Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.
Matayo 5: 44 - 45. Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na watu wema.
tumuombee amalize mwendo salama gentleman 🐒Unaua ili kuunda serikali.
Lissu ni mwanasiasa, mwanaharakati., lini Kwanza utumishi wa Mungu?Kila la kheri kwa Mtumishi wa Mungu Lissu
Kwa hakikaLissu anashinda
Viumbe vyote vya dunia vinasali muda huuAsili yenyewe inamuombea mema.
Mother nature kwa ujumlaViumbe vyote vya dunia vinasali muda huu
Ni kichaa peke yake anayeamini kuwa lissu atanyongwaBaada ya submissions za leo (utetezi na mashtaka), hukumu inaweza kutolewa tarehe 25 mwezi huu! I can't wait to see someone is being hanged! Ahahahahaha!!
HahahaNi kichaa peke yake anayeamini kuwa lissu atanyongwa
Maombi ni mitetemo yetu iwe ya hofu au ya ushindi, ila katika yote wema huushinda ubaya.haina haja ya maombi wao waruke ruke siye shida yetu tuishuhudie hukumu..
Una miaka mingapi?Baada ya submissions za leo (utetezi na mashtaka), hukumu inaweza kutolewa tarehe 25 mwezi huu! I can't wait to see someone is being hanged! Ahahahahaha!!
Kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa na hukumu isitekelezwe haiondoi kuwa umehukumiwa kunyongwa hadi kufa!Una miaka mingapi?
Elimu Yako?
Mara ya mwisho ukiona mtu akinyongwa lini kwa Sheria za Tanzania
Tumuombee mwaipopo kwanza awe na akili timamu vinginevyo hafai kuwa msemaji wa ccm?Kwamba vya Kuombea Vimeisha hadi Tuanze Kumuombea Lissu?
Huruma siyo MaleziMungu mkubwa watamuonea huruma ameteseka mno hizo risasi 16 was enough halafu bado anyongwe. Loo binadamu watamuonea huruma na majaji pia so far kesi hii haina mashiko