Yaani hii kama itakuwa kweli watakuwa wamefanya jambo la maana sana na Taifa litawakumbuka! Hebu sema kweli mkuu? Wananchi wahamasishwe mkurugenzi atakayefanya figisu huyo anastahili kuuawa shenzy zao kabisa!Mawakala wa CCM Chato wakataa kuapishwa mpaka Mawakala wa Chadema nao waapishwe
Dalili nzuri yenye kuonesha kuwa Watanzania hawataki Zulma zinazofanywa na akina Polepole na Mwenyekiti wake
Kwenye uchaguzi kuna kushinda na kushindwa. Hilo la kwanza. Pili, Lissu akishindwa hawezi kwenda kuugulia Singida ana kazi nyingi za kufanya, sio mjinga mjinga na wewe mwenyewe unalijua hilo. La tatu, hili ukalale nalo..wenye chama wanajua hali mbaya waliyonayo kuelekea uchaguzi, hawaamini kinachoenda kutokea kutokana na ukweli kwamba Watanzania wengine wasio kuwa upande wa wajinga ulioko wewe, wameamua kuweka madarakani serikali inayoweza kutamka neno HAKI bila kuona aibu! wanataka serikali itakayoweka mazingira mazuri ya kufanya biashara tofauti na sasa ambapo biashara nyingi zimefungwa, wanataka serikali ambayo haina ubaguzi wowote, iwe wa kiitikadi au vinginevyo! Sasa watu kama wewe mnaotunzwa na mashemeji zenu makada wa CCM hamuwezi kuelewa kama mashemeji zenu hawapati usingizi!Kunywa maji mkuu naona ushapaniki mkuu wiki ijayo kama saizi tundu lisu atakua kwao singida huko anaugulia maumivu he will learn the hard way kuwa watanzania hawana mchezo
Kwa iyo kumbe ni wewe na yeye tu???
Mawakala wa CCM Chato wakataa kuapishwa mpaka Mawakala wa Chadema nao waapishwe
Dalili nzuri yenye kuonesha kuwa Watanzania hawataki Zulma zinazofanywa na akina Polepole na Mwenyekiti wake
Anazidi kuharibu,yaani anawatukana watanzanzania ni makafir?Wakati huo huo Sheikh Ponda kipenzi cha watu amesema CCM ni Chama cha makafiri
Amesema Wakristo kwa Waisilamu wajitenge na Chama hicho cha Ibilisi
Yaani hii kama itakuwa kweli watakuwa wamefanya jambo la maana sana na Taifa litawakumbuka! Hebu sema kweli mkuu? Wananchi wahamasishwe mkurugenzi atakayefanya figisu huyo anastahili kuuawa shenzy zao kabisa!
Ndiyo maana katiba inabidi irekebishwe, watupe ya Warioba.NEC mjue amani ya nchi yetu iko mikononi mwenu. Anayewatuma ana ulinzi na kinga ya kutoshtakiwa, ya kuambiwa changanyeni na akili zenu, shauri yenu.
Haujasoma Mzee Baba. Hujui hata tofauti ya tarafa na kataMbona mnajikanganya? Makao makuu ya kata si tarafa?
uchaguzi ukiisha next week lisu ataenda kuuza alizeti kwaoWewe ni mjinga tu, kwenye uchaguzi kuna kushinda na kushindwa. Hilo la kwanza. Pili, Lissu akishindwa hawezi kwenda kuugulia Singida ana kazi nyingi za kufanya, sio mjinga mjinga na wewe mwenyewe unalijua hilo...
Mwanangu unapiga biti wakuu huku upo kwa mangi unashushia kitu cha baridi, maji ya uhaiNEC mjue amani ya nchi yetu iko mikononi mwenu. Anayewatuma ana ulinzi na kinga ya kutoshtakiwa, ya kuambiwa changanyeni na akili zenu, shauri yenu.
Mtendaji wa kata anaripoti kwa mtendaji wa tarafa ambapo yapo makao makuu ya kata zote.Haujasoma Mzee Baba. Hujui hata tofauti ya tarafa na kata
Sehemu husika ni kuambia wananchi twendeni barabarani na siyo sehemu nyingine yoyote.Lolote wanalofanya wajue watanzania tunachukua ushahidi wote na kupeleka sehemu husika. Kubwa ni kwamba uvumilivu sasa baasi.
NA HII NDIYO DAWA.. MAANA KAMA HAKUNA WAWAKILISHI WA WANANCHI, ITABIDI WOOTE TUWEPO MUDA WOTEWakikataa kuwaapisha hao inamaana wanaidhinisha wananchi wote wawe mawakala.
Wenye mamlaka ya kuchukua hatua ndo waasisi wa figisu.Ni vyema tukafuata sheria na wale wanaokiuka sheria wachukuliwe hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja kuondolewa kwenye usimamizi.