Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Mawakala wa CCM Chato wakataa kuapishwa mpaka Mawakala wa Chadema nao waapishwe

Dalili nzuri yenye kuonesha kuwa Watanzania hawataki Zulma zinazofanywa na akina Polepole na Mwenyekiti wake
Yaani hii kama itakuwa kweli watakuwa wamefanya jambo la maana sana na Taifa litawakumbuka! Hebu sema kweli mkuu? Wananchi wahamasishwe mkurugenzi atakayefanya figisu huyo anastahili kuuawa shenzy zao kabisa!
 
Kunywa maji mkuu naona ushapaniki mkuu wiki ijayo kama saizi tundu lisu atakua kwao singida huko anaugulia maumivu he will learn the hard way kuwa watanzania hawana mchezo
Kwenye uchaguzi kuna kushinda na kushindwa. Hilo la kwanza. Pili, Lissu akishindwa hawezi kwenda kuugulia Singida ana kazi nyingi za kufanya, sio mjinga mjinga na wewe mwenyewe unalijua hilo. La tatu, hili ukalale nalo..wenye chama wanajua hali mbaya waliyonayo kuelekea uchaguzi, hawaamini kinachoenda kutokea kutokana na ukweli kwamba Watanzania wengine wasio kuwa upande wa wajinga ulioko wewe, wameamua kuweka madarakani serikali inayoweza kutamka neno HAKI bila kuona aibu! wanataka serikali itakayoweka mazingira mazuri ya kufanya biashara tofauti na sasa ambapo biashara nyingi zimefungwa, wanataka serikali ambayo haina ubaguzi wowote, iwe wa kiitikadi au vinginevyo! Sasa watu kama wewe mnaotunzwa na mashemeji zenu makada wa CCM hamuwezi kuelewa kama mashemeji zenu hawapati usingizi!
 
Wadau kama alivyozungumza JJ Mnyika kwamba tujitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura. Jambo la kwanza ni kwamba kura hazitopigwa kama mawakala wa vyama vya upinzani "MAKINI"(Nasema upinzani makini maana kuna wapinzani kina TLP, NCCR, UDP ambao ni CCM-A,B na C) hawatoruhusiwa kuingia kwenye vituo vya kura, tujiandae kwa nguvu ya umma, najua Hai, Mbeya, Iringa, Arusha, Misungwi na kanda maalumu huko hakuna shida "FITA ni FITA" kule mapema asubuhi wanakiwasha wakiletewa utopolo, ila sehemu nyingine makatibu na wenyeviti wa majimbo CHADEMA sisitizeni kwamba mwaka huu ni mwisho kuonewa; hawawezi kufanya chochote polisi maana uchaguzi huu unaaangaliwa na dunia nzima,wakivuruga uchaguzi hakika ICC itawahusu.
 
Baada ya kumaliza kuwaapisha mawakala wa CCM Mkurugenzi wa Songwe alitoroka na kurudi nyumbani, Mawakala Wa Upinzani wakamfuata Nyumbani kwake na kumrudisha ofisini kuwaapisha. Na Kazi Imeisha.

 
Wewe ni mjinga tu, kwenye uchaguzi kuna kushinda na kushindwa. Hilo la kwanza. Pili, Lissu akishindwa hawezi kwenda kuugulia Singida ana kazi nyingi za kufanya, sio mjinga mjinga na wewe mwenyewe unalijua hilo...
uchaguzi ukiisha next week lisu ataenda kuuza alizeti kwao
 
4D09739C-6B45-4630-A1D7-4D69414B2DF8.jpeg
 
NEC mjue amani ya nchi yetu iko mikononi mwenu. Anayewatuma ana ulinzi na kinga ya kutoshtakiwa, ya kuambiwa changanyeni na akili zenu, shauri yenu.
Mwanangu unapiga biti wakuu huku upo kwa mangi unashushia kitu cha baridi, maji ya uhai

Majemedari wanapiga biti huku wameshika kitu cha AK 47 msituni huku wakisubiri mida ifike wakiwashe

Acha utani ww
 
Binafsi mimi namkubali sana Mwenyekiti wa Tume na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi wanavyotenda haki mpaka tumefikia hatua hii ya kuwaapisha mawakala nchi nzima.

Kama sheria inavyotamka kuwa Wakala anaweza kuapishwa na Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya Jimbo au na Msimamizi Msaidizi ngazi ya Kata basi TOENI maelekezo kuwa ni ruksa ngazi zilizotajwa ziwaapishe mawakala bila figisu figisu yeyote.

Kumlazimisha wakala amfuate Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya Jimbo kilomita 100 wakati Msimamizi Msaidizi ngazi ya Kata yuko kilomita 8 ni kutotenda haki.

Ni vyema tukafuata sheria na wale wanaokiuka sheria wachukuliwe hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja kuondolewa kwenye usimamizi.
 
Achana na kampeni, achana na kukesha kulinda kura, achana na mawakala kupewa au kutopewa nakala ya fomu ya matokeo, mshindi na ushindi wa uchaguzi mkuu ujao wa 2020 upo katika siku hizi tatu za kuwaapisha mawakala.

Mchuano utakua mkali, figisu zitakua nyingi, na mikwaruzano ya kutosha kabisa lakini hii ndio lala salama. Mawakala ni kama beki wa mwisho, akitoa boko au akikubali kupitwa lazima mfungwe goli.

Zoezi la uteuzi na kuapishwa mawakala ni beki wa mwisho na wote wanajua hivyo. Hakuna namna shughuli hii ikawa nyepesi. Ama mpira upasuke, au beki afe(hii ni nadra sana) au mshambuliaji aumizwe kwa rafu mbaya sana.

Nawashangaa wanaoendelea na kampeni na kuchukulia poa zoezi la uteuzi na hatimaye uapishwaji wa mawakala wa vyama husika. Kwa maoni yangu siku ya leo wangesitisha mikutano na washughulikie issue ya uapishwaji mawakala vinginivyo "team mwenyeji' anachukua poit tatu mapeeema saa nne asubuhi!
 
Back
Top Bottom