Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hujasikia NEC wameongeza siku 3??Sasa kama wewe si ukaanzishe varangati?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujasikia NEC wameongeza siku 3??Sasa kama wewe si ukaanzishe varangati?
Ninesikia wameongeza kwasababu yako.Hujasikia NEC wameongeza siku 3??
Lolote wanalofanya wajue watanzania tunachukua ushahidi wote na kupeleka sehemu husika. Kubwa ni kwamba uvumilivu sasa baasi.
Sema wewe sio sisi wengine
Akiwa yeye na mimi haitoshi kusema sisi?
Au kwa uzezeta wako "sisi" lazima uwemo? Kwani hata nani anakuhitaji mburula wewe?!
Wapi alikutaja na wewe???Akiwa yeye na mimi haitoshi kusema sisi?
Au kwa uzezeta wako "sisi" lazima uwemo? Kwani hata nani anakuhitaji mburula wewe?!
Tusifikie huko aiseeNaona wafuasi wa shetani wanapungua tu
Mawakala wanne wa Chadema wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo - Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
Nani ameshinda mpaka sasa? Pumbav!na nyie ibeni akishinda mbowe hakuna wizi ila akishinda wa ccm ndio wizi
Swali kwa swali ndo utaelewa.Kwani makao makuu ya wilaya ni wapi?
Usije ukategemea kuwa jeshi litafyatulia risasi wananchi wake. Pengine una hope hiyo, usijidanganye.Waingie barabarani kama wana jeuri hiyo kudadeki
Makao makuu ya Tanga ni Dodoma au siyo?Kwani makao makuu ya wilaya ni wapi?
Hayupo mwenye sifa ya uongozi wa nchi Afrika hii kwa sasa zaida ya JPM...tumia akili na ujueWameanza Figisu ili Magufuli aendelee kututesa
Hata wafuasi wa Mobutu walikuwa wakisema hivyo wakati wa ufunguzi wa Airport ya Gbadolite OriantalHayupo mwenye sifa ya uongozi wa nchi Afrika hii kwa sasa zaida ya JPM...tumia akili na ujue
kunywa maji mkuu naona ushapaniki mkuu wiki ijayo kama saizi tundu lisu atakua kwao singida huko anaugulia maumivu he will learn the hard way kuwa watanzania hawana mchezoNani ameshinda mpaka sasa? Pumbav!
Wapi alikutaja na wewe???
Kwahiyo kumbe ni wewe na yeye tu?Mimi kanitaja kwenye hiyo "sisi" Ila wewe haumo. Kihere here cha nini jombi au nawe ulitaka uwemo? Huhitajiki!