Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Kwani na hao mawakala wa Ccm wanaapishwa sehemu gani ama ccm wao hawaapishwi,nilitegemea mambo kama haya Bakwata wangejitokeza kutetea haki za raia kama walivyofanya juzi kumsema shekhe ponda
 
Lolote wanalofanya wajue watanzania tunachukua ushahidi wote na kupeleka sehemu husika. Kubwa ni kwamba uvumilivu sasa baasi.

Haya maneno ya hivi yashanichosha. Labda tuconclude tu kuwa Watanzania hatuko serious na chochote. Leo hii zoezi la mawakala limeenda hovyo kweli, na viongozi wetu wapo wapo tu.
 
Yani vyama vya upinzani wasikubali matumishi wa umma kuwa mawakala wao hata kama ni nduguu,manake ni rahisi pressure kuwa applied kwao
 
Hapa maneno ya Membe yanaonekana. Unaweza kuconclude kuwa kuhangaika na umati wakati huku chini ya jukwaa hakuko shwari si wazo zuri. Ilitakiwa iwe confirmed kabisa mawakala watakuwepo wa kutosha na wataapishwa tangu mwezi huu ulipoanza.

Na mapema ilibidi wawe wameandaliwa; wamefundishwa juu ya form hewa na halali, kiapo hewa na halali, etc ... Kwa mwendo huu yale manyomi ya watu yote hayakuwa na maana.
 
Naona wafuasi wa shetani wanapungua tu

Mawakala wanne wa Chadema wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo - Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
Tusifikie huko aisee
 
Hayupo mwenye sifa ya uongozi wa nchi Afrika hii kwa sasa zaida ya JPM...tumia akili na ujue
Hata wafuasi wa Mobutu walikuwa wakisema hivyo wakati wa ufunguzi wa Airport ya Gbadolite Oriantal
 
Mawakala wa CCM Chato wakataa kuapishwa mpaka Mawakala wa Chadema nao waapishwe

Dalili nzuri yenye kuonesha kuwa Watanzania hawataki Zulma zinazofanywa na akina Polepole na Mwenyekiti wake
 
Wakati huo huo Sheikh Ponda kipenzi cha watu amesema CCM ni Chama cha makafiri
Amesema Wakristo kwa Waisilamu wajitenge na Chama hicho cha Ibilisi
 
Nani ameshinda mpaka sasa? Pumbav!
kunywa maji mkuu naona ushapaniki mkuu wiki ijayo kama saizi tundu lisu atakua kwao singida huko anaugulia maumivu he will learn the hard way kuwa watanzania hawana mchezo
 
Back
Top Bottom