Leo Mzee Kikwete ametimiza miaka 73; wanasiasa wa CCM na Upinzani nawakumbusha kumtakia maisha marefu

Leo Mzee Kikwete ametimiza miaka 73; wanasiasa wa CCM na Upinzani nawakumbusha kumtakia maisha marefu

The treacherous tropes of Little Finger make the likes of Brutus and Judas loathe in Jealousy. He simply is a Gold-Standard of snitching and greed.

If you ask me, I'll say. Mama Samia na Tanzania yake are facing a hilarious predicament.
"A Man of the People"-Chinua Achebe

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mhe. Kikwete amewaleta kwenye uwanja wa siasa vijana na wazee wengi wanaongara leo.

Lakini wasipokumbishwa kumtakia happybithday huyu father may be wanaweza kupotezea.

Sisi jukumu letu nikuwakumbusha kuandika hata KINAFIKI kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba mzee kazaliwa. Naona wanasiasa wengi wamepotezea kuzaliwa kwa huyu dingi .

Happybithday Baba Riz

Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote.

Mithali 14:34
 
Amemaliza urais akiwa na umri bado. Huyu hata 2025 kama likatiba letu lingekuwa halina nongwa angerudi ikulu. Bila shaka angekuwa bora zaidi kuliko alipokuwa awali.
 
Nilikaa na ridhwan siku moja ni kiongoz kabisa kuzidi kiasi lakin jina lake halifai kwa matendo yake uislamu na hawez jitenge na kushindwa kwa awamu ya 4
 
Mhe. Kikwete amewaleta kwenye uwanja wa siasa vijana na wazee wengi wanaongara leo.

Lakini wasipokumbishwa kumtakia happybithday huyu father may be wanaweza kupotezea.

Sisi jukumu letu nikuwakumbusha kuandika hata KINAFIKI kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba mzee kazaliwa. Naona wanasiasa wengi wamepotezea kuzaliwa kwa huyu dingi .

Happybithday Baba Riz
Watanzania tunampenda sana tena sana Baba yetu Dkt Kikwete! Mungu ampe maisha marefu!
 
Back
Top Bottom