Leo Mzee Kikwete ametimiza miaka 73; wanasiasa wa CCM na Upinzani nawakumbusha kumtakia maisha marefu

Leo Mzee Kikwete ametimiza miaka 73; wanasiasa wa CCM na Upinzani nawakumbusha kumtakia maisha marefu

Juma lokole kwenye sura mpya
Kuwa na nidhamu kiongozi!

Huyo unayemtaja ni SHOGA!..., MFIRWAJI!, KAUKATAA UWANAMUME NA DARJA LA JUU KABISA HAPA DUNIANI ALILOLITOA MWENYEZI MUNGU KWA VIUMBE VYAKE.

SASA WEWE UNAMTAJA VIPI HUYO MJAA LAANA NA MFUASI WA SHETANI KWENYE UZI MAALUM UNAOMHUSU MTU MWENYE HADHI KUBWA NA NYADHIFA YA HALI YA JUU NCHINI?! KUMBUKA HUYO NI BABU WA WATU, BABA, MKWE NA KIIGIZO CHEMA KWA BAADHI YA WATU. PUNGUZAGA BANGI!... UNGEKAA KIMYA UNGEPUNGUKIWA NINI?!

KAMA UNA HOJA AU SHUTUMA ZAKO ZILETE KISOMI ZICHAMBULIWE NA KUJADILIWA KISOMI.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Leo Tarehe 7 October Ndio siku aliyozaliwa Jabali na Nguli wa siasa Za ndani na nje ya Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete.Ni mwamba kweli kweli wa siasa,Ni fundi wa siasa aliyekulia katika siasa na anayezijuwa siasa. Ni mwanamikakati mzuri sana na mwenye mipango ya ushindi na ushawishi katika siasa. Ni mwenye historia ya kuvutia kisiasa inayotufundisha vijana subiri na uvumilivu katika safari yoyote ile kisiasa. Ni kiongozi wa mfano Barani Afrika Na Dunia nzima kwa ujumla.

Ni waziri wa mambo ya nje aliyehuduma kwa muda mrefu na kwa mafanikio makubwa sana kwa Taifa letu,Ni wakati wake ambapo vijana wengi sana walipenda na kujiingiza katika siasa,ni wakati wake ambapo demokrasia ilichanua katia Taifa letu,Ni wakati wake ambapo Taifa letu lilipokea viongozi wote wakubwa katika ulimwengu huu,na kwa wakati fulani tumewahi kupokea kwa wakati mmoja Rais aliyepo madarakani na aliyestaafu kutoka Taifa la Marekani, ni wakati wake Elimu ya chuo kikuu vijana wengi sana waliipata bila kikwazo,ni wakati wake ajira watu walikuwa wanachagua waende private au serikalini,ni wakati wake ambapo miundombinu ya barabara ilijengwa kila kona ya Taifa letu na ni wakati wake mtu akipangiwa ajira kijijini haendi kwa kuwa private alikuwa na uhakika wa kupata ajira.

Ni wakati wake shule za kata zilijengwa sana na kutoa nafasi kwa wanafunzi wengi sana kupata na kutimiza ndoto ya kupata Elimu ya sekondari,ni wakati wake huduma za afya zilisogezwa karibu ya watanzania,Ni wakati wake Biashara zilishamiri sana nchini,ni wakati wake vijana wengi sana walipata nafasi ya kuaminiwa kushika nafasi kubwa serikalini na hata katika mashirika ya umma na Taasisi mbalimbali,Ni wakati wake na kwa ushawishi wake Tulishuhudia mh Dr Asha Rose migiro akiwa naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa chini ya Ban kin moon aliyekuwa Rafiki yake na mh Kikwete.

Ni kupitia yeye viongozi mbalimbali aliwakuza ambao mpaka leo wapo serikalini na wanaendelea kulitumikia Taifa letu katika nyadhifa mbalimbali. Alikuwa fundi wa kuibua vipaji vya vijana ,hakuwa na hiyana katika kuwapatia nafasi vijana. Leo viongozi wengi ni kazi ya mikono yake na macho yake ya kuwaona na kuwapatia nafasi ya uongozi.

Ni Dr Jakaya Mrisho Kikwete aliyenishawishi kuipenda siasa na chama cha Mapinduzi mwaka 2005 mkoani Rukwa katika mji mdogo wa Laela wilaya ya sumbawanga vijijini alipokuja katika kampeni za kuomba kura za urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa hakika Mwenyezi Mungu aendelee kumjalia Maisha Marefu yenye heri na baraka tele kwake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Chawa usiye na haya 😂😂😂

Nna namba ya mwanae, pia ni rafiki yangu sana! Unataka nikupe P.M ukampelekee uchawa wako ili iwe rahisi taarifa kumfikia mzee angalau utafutiwe kibarua hata GSM home ukauze furnitures ili uwe busy utupunguzie kelele humu?! 🤔
 
Kuwa na nidhamu kiongozi!

Huyo unayemtaja ni SHOGA!..., MFIRWAJI!, KAUKATAA UWANAMUME NA DARJA LA JUU KABISA HAPA DUNIANI ALILOLITOA MWENYEZI MUNGU KWA VIUMBE VYAKE.

SASA WEWE UNAMTAJA VIPI HUYO MJAA LAANA NA MFUASI WA SHETANI KWENYE UZI MAALUM UNAOMHUSU MTU MWENYE HADHI KUBWA NA NYADHIFA YA HALI YA JUU NCHINI?! KUMBUKA HUYO NI BABU WA WATU, BABA, MKWE NA KIIGIZO CHEMA KWA BAADHI YA WATU. PUNGUZAGA BANGI!... UNGEKAA KIMYA UNGEPUNGUKIWA NINI?!

KAMA UNA HOJA AU SHUTUMA ZAKO ZILETE KISOMI ZICHAMBULIWE NA KUJADILIWA KISOMI.
Umeandika maelekezo marefu yasiyo na msingi, nimemtaja kiongozi yoyote hapo kwenye maelezo yangu..?

Umeona jina kikwete hapo.. ?
 
Umeandika maelekezo marefu yasiyo na msingi, nimemtaja kiongozi yoyote hapo kwenye maelezo yangu..?

Umeona jina kikwete hapo.. ?
Kama kikwete hahusiki hapo huyo "JUMA LOKOLE" kaingiaje kwenye hii mada?!

Wacha ujujaji we MPUMBAVU!... ongea na baba yako na umlaumu kwann hakupambana mkaishia watoto wake mmetawanyika kama mavi ya mbuzi kichakani mpaka mnakosa ya maana mnaishia kuandika upuuzi mitandaoni kuhusu baba wa wenzenu waliolijua lengo na dhumuni la kuletwa duniani wakapambana mpaka kusimama kimaisha na kutengeneza misingi mizuri kwa watoto wao?!

Umuulize hayo maswali Baba yako.
 
Pumzika la milele ampatie Bwana, in advance.

As it is we all are prospective corpses.
 
Alah ampe umri mrefi mrefu na afya tele na amjallie hekima na kuendelea kuwatumikia Walimwengu. Aaamiin.

Ma shaa Allah, Kikwete ni "Born Leader".
 
Back
Top Bottom