Leo Mzee Kikwete ametimiza miaka 73; wanasiasa wa CCM na Upinzani nawakumbusha kumtakia maisha marefu

Happy birthday Mr Jk.....

I wish you good health...na Umri, uishi tu....huna baya big daddy.

Nampendaga sana....afu nampenda tena.
 
Huyu mzee ndio kawakomboa vijana wengi Waweze kujiajiri kupiita bodaboda na kuajiri kuliko Marais wote hakika huyu angeongezewa Miaka ya kuongoza kuliko kutuletea bwana yule.

Mzee katimiza 70's hv haiwezekani akagonbea tena 2025?

Uzi umekwisha.
 
Naitafuta video ya interview ya mzee baba aliifanya hivi majuzi. Nakumbuka aliuzwa juu ya mwalimu nyerere kuhusu ule mgomo pale udsm jakaya alimjibu presenter wa interview hiyo, nanuku, "MZEE ALIKUWA ANAFOKA SANAAAA YULEEEE(Mwalimu nyerere)
 
Wanajamvi nauliza swali tu😁

Nimeshtuka jioni hii kuwa leo ni kumbukizi ya kuzaliwa jk nikarudi social media naona kimya sio kama mwaka jana watu walipokwenda msoga na kukata keki😁

Nini kimetokea?
 
Hongera sana mzee!! Mungu akuongezee miaka mingine kama hiyo!
 
Huyu aliuza gas yetu kwa wazungu sina hamu yeye.
 
Ungeandika hili bango ukabandike pale chalinze njia panda ya msoga ingependeza zaidi.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…