Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
- Thread starter
-
- #161
Shukrani sana, nitafanya hivyo, na daima nimekuwa nafanya hivyo mkuuMungu akutangulie usisahau kusaidia na wengine, sio lazima mpaka mtu umjuwe.
Wewe tumepeana moyo tu hapa mtandaoni lakini wapo tulioshikana mkono Leo wametobowa wameaota maoembe, ila Mungu ni mwema na Mimi si haba siko vibaya.
HahahaAllah kakubariki kwenda Amerikiya siyo Jeddah, Mecca au Riyadh.
Ukiwa Tanzania ni kama upo Gizani... Watanzania wengi japo sio wote wapo negative sana, Once again hongera sana ni mwanzo mzuri wa maisha mapya na yenye furaha, Nakuombea Kheri.Ahsante sana ndugu yangu, watanzania tungekuwa wamoja hivi tungefanikiwa mno.
Hahaha imhotep jamaa ashanijibu mkuu.Akikujibu nitag.
Mkuu hadi kesho ndio nitachukua, passport nimeacha Kwa ajili ya kugonga visa,ila nimepewa kadi kwa ajili ya kuchukulia.
Naam mkuu, hizo ni za baada tu ya kupata admission, bado kuna application fee, niliomba zaidi ya vyuo vinne, WES na IELTS.
Ahsante sana MkuuUkiwa Tanzania ni kama upo Gizani... Watanzania wengi japo sio wote wapo negative sana, Once again hongera sana ni mwanzo mzuri wa maisha mapya na yenye furaha, Nakuombea Kheri.
Shukran sana ndugu yangu.Umeshatusua mwanangu. Kapige kazi sasa
Shukran sana Mkuu,karibu sana ndugu yangu, muda wowote karibu.Hongera sana mkuu, Mungu akutangulie.
Siku nikikwama nitakutafuta unipe hint za taarifa nitakazo hitaji. All the best mkuu!
Ndio mkuu.Basi hela zilikutoka..
#YNWA
Mm Nina lottery yangu imbayo inanidirect interview JANUARY .ulivyopata ujuui tu umenitia nguvu mno...nawezaje kwenda kwenye interview bila ya kuwa na consent ya mzazi mmoja juu ya watoto kuruhusu kuondoka bila yeye kujuaSalamu wakuu,
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, nikihangaikia suala la kutoka huku nchini kwetu kwenda Marekani, hatimaye leo ndio siku yenyewe ya kujua mbivu na mbichi. Nitakuwa ubalozini kwa ajili ya visa interview saa tatu na dakika 45 asubuhi hii.
Namuomba sana Mwenyezi Mungu anifanikishe katika jambo hili, niombeni pia rafiki zangu, nitaleta mrejesho.
Wasalaam.
Salamu wakuu,
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, nikihangaikia suala la kutoka huku nchini kwetu kwenda Marekani, hatimaye leo ndio siku yenyewe ya kujua mbivu na mbichi. Nitakuwa ubalozini kwa ajili ya visa interview saa tatu na dakika 45 asubuhi hii.
Namuomba sana Mwenyezi Mungu anifanikishe katika jambo hili, niombeni pia rafiki zangu, nitaleta mrejesho.
Wasalaam.
Ukitaka kumpatia mzungu akupe viza yake ki rahisi,wwe cheza na documents tu, angalia ni documents gani wanazitaka kwa ajili ya safari yako kwenye web zao zinakuwepo! Mtalii ana documents zake, mfanyabiashara pia na Wanafunzi nao kuna aina ya documents zao za kiwanafunzi! Sababu ya safari yako ndiyo itakuelekeza ni documents gani ukusanye!!Mzee baba kwanza hongera kwa uthubutu! Sema umeenda muda mbaya sana! Pale kuna consolar mmoja tu dirishani ambaye ni mdada black america. Ana roho mbaya sijawahi pata kuona yaani sijui kama utatoboa. Kulikuwa na mama wa kizungu pale sema karudi kwao yule ndo alikuwa poa sana wengi walikuwa wanapewa tu Visa. Ila yule dada wa kimatumbi ana roho ya mwendazake! Walah ukipata wewe kidume. Ukuje utuletee mrejesho hapa.