Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

Hongera Sana chief....
 
kumbe miaka 3 nikajua angalau 10
 
Hongera mkuu
 
Kataa ndoa hapa mtapita kimya kimya, au mtaanza kuponda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…