Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

Kwanini? Kwa sababu amekwambia Hajawahi kumpiga Binafsi siamini kwenye kunyoosha mkono kwa Mwanamke Tangu nikiwa mdogo nilifundishwa hivyo..

Na pia hata Mimi namfundisha sana mwanangu wa Kwanza hiyo kitu sasa hivi ana miaka 22 huwa nampa somo tangu akiwa mdogo kuwa Asije akajaribu kumpiga mwanamke..

Akiwa na hasira Ni bora apige ukuta au aondoke nyumbani akapungwe upepo ila sio kunyoosha mkono kwa mwanamke
Safi sana uko kijana mwenye 22yrs
 
Mkuu mke wako ni wakawaida sana na nikuhakikishi kwamba wa kawaida njoo DM...

Unapagawa na vitu vidogo hivyo kweli wewe zipompwepompwe umeoa satawang'ina hilo halafu unaaminia,njoo inbox tukuoneshe kuwa mwanamke wako wakawaida sana
Mkuu kwani we si shoga ulisema?
 

Attachments

  • AE8886C2-33E0-4144-BD6C-58A2775B6F16.jpeg
    AE8886C2-33E0-4144-BD6C-58A2775B6F16.jpeg
    10.8 KB · Views: 5
Back
Top Bottom