Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

Yani nikiongelea ndoa namaanisha ule mkataba, umekaa ki TP sana.
Hahaha sasa mkuu mkataba gani ambao unausemea kwenye ndoa?

Maana huenda labda tu unasema ogopa ila sijajua pointi yako.
Embu share tujifunze kuna mkataba gani ambao unafanya wewe uogope?
 
Sio mimi wana wengi tu wamepigwa mkuu , kuyaongelea hao mambo ni kisanga wewe jichanganye ukafunge ndoa alafu ukute ina vichembe vya ukristo utajuta.
 
Kwa kweli nilitaka kujifunza ila hata sijaelewa unachojaribu kusema.

sawa mkuu. nilijua ushawahi kuwa kwenye ndoa.
Ahsante kwa ushauri pia.
 
sasa jambo personal mkuu ungebaki nalo tu moyoni😂
Maana umesema tusiokuwa na mahusiano tufanyeje? Halafu tena ni person!!

Ahsante kwa kuchangia mkuu.
Hahahahah kila mtu Yuko na sababu zake za msingi kwann hayuko na mahusiano
 
Back
Top Bottom