Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

Mkuu,
Ni labda tu hujasoma vzuri.
Hapo juu hakuna sehemu inayosema kwamba hatutaachana ila nina enjoy moment zote nazopitia katika maisha yangu.

wewe huoni raha kuamka asubuhi mke anakuandalia maji ya moto na baridi hili ankuandalia chai mnapeleka mtoto shule baada ya hapo mnaondoka kwenye mishe mishe zenu?

suala la kuachana hakuna anayejua ila tunaishi moment ambayo ipo siwezi ku-control vitu ambavyo sijui itakuaje.

Mkuu wewe umeshaoa?
Jibu sahihi sana
 
Mimi hata sikuelewa kwakwel alianza mabadiriko ya vificho tu nikambana sanaaa mwisho yakamshinda akafunguka tuachane amepata mtu sahih, nikaridhia akaenda.

Sasa miaka 15 ameishi na mimi hakuwa hujua kama mimi siyo sahih ila ndani ya muda mchache tu alipoanza usaliti akaconfirm/akanitambia uko nje ndo kuna watu sahih sikua na cha kumshauri tena maana tumeish tukifundishana mengi nikaona kumbe wanawake ni vilaza tu sikutumia nguvu tena kama mbuzi tu nikamfungulia kamba zizini aende apendako.
Dah, pole maisha lazima yaendelee. Kama mlijaliwa watoto hakikisheni hawathiriki sana na utengano wenu.
 
Back
Top Bottom