passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
- Thread starter
- #121
🙏🏽Sawa Leo umemkabidhi simu mke wako akuandikie!
Nawaombea sana mdumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏🏽Sawa Leo umemkabidhi simu mke wako akuandikie!
Nawaombea sana mdumu
Kama ni hivi mimi siwezi kusema chochote hata sijaelewa.Mimi hata sikuelewa kwakwel alianza mabadiriko ya vificho tu nikambana sanaaa mwisho yakamshinda akafunguka tuachane amepata mtu sahih, nikaridhia akaenda.
Sasa miaka 15 ameishi na mimi hakuwa hujua kama mimi siyo sahih ila ndani ya muda mchache tu alipoanza usaliti akaconfirm/akanitambia uko nje ndo kuna watu sahih sikua na cha kumshauri tena maana tumeish tukifundishana mengi nikaona kumbe wanawake ni vilaza tu sikutumia nguvu tena kama mbuzi tu nikamfungulia kamba zizini aende apendako.
Hujaona neno baada ya yeye kuanza usaliti? Kuna watu wakicheat huwa wanahi uko ndiko sahih zaid ja kutaka kuondoka kabisa katika ndoa ili wahamie uko. Uyu alikua mmoja wao sasa jamii ya wapumbavu wale.Kama ni hivi mimi siwezi kusema chochote hata sijaelewa.
From no where tu hawezi kusema tuachane.
Ila pole.
Hahaha ngoja handsome boy asogee kidogo nimtafutie mdogo wake.Mkuu hongera,
Lakini miaka mi5 katoto kamoja, fanya fanya uongeze ukoo huo, hayo ni matumizi mabovu ya manii. (joke)
😂
Hahaa.. Sawa jitahidi mzee.Hahaha ngoja handsome boy asogee kidogo nimtafutie mdogo wake.
Eeeh! Mshafikakataa ndoa
mtunze kama mboni ya jicho lakowakuu habari za uzima?
Mimi na mke wangu niseme watu tunaopenda sana kusoma vitabu, sasahivi tuna mtoto mmoja handsome boy linanipa faraja sana na kunifanya niendelee kupambana.
Niseme katika watu wenye wanawake smart mimi ni miongoni mwao, mke wangu tulikutana miaka mitano nyuma.
Nadhani wote tunajua mapenzi yakiwa mwanzo, baada ya kutupa sana ndoano mwisho akakubali nikamuomba date.
basi siku ya kwanza natoka nae date jioni, tukaagiza chakula huku stori zikiendelea nyingi akiniuliza umesoma kitabu fulani na masuala ya mziki huwa nikiwa na stress zangu za kazi ananiimbia jamani huyu mwanamke acha tu[emoji7].
Basi stori zikawa zinaendelea.
Mimi; unajua wanawake huwa mnapenda vitu vingi mbali na mziki na kusoma vitabu nini kingine?
Mke; unajua tunapokosea sisi ni kusema vitu vyote kwa mwanaume at once hivyo mwanaume ata fulfill vile vitu haraka ili apate kile ambacho anataka hiyo ni kazi yako kujua napenda nini.
Hili jibu likanifanya nijue naongea na mtu wa aina gani, nikajibu sawa.
Tukawa tunaendelea na stori sasa kipindi hicho nilikuwa nasoma(hapa bado hatujakutana kimwili) nikamwambia unajua nipo nasoma ila unajua nilijaribu kufungua biashara ya huduma za kifedha ila naona kama nikiacha mtu kuna hasara kubwa sana na nashindwa kujigawa kuwepo pale muda wote nafikiria kuacha.
Mke wangu alinipa mfano ambao mwanzoni niliuona wakijinga sana.
Akaniambia kuna stori fulani ya zamani ya kitoto ya Mbwa mmoja ambaye alikuwa akijitapa kwamba yeye ndio ana mbio sana na hakuna mnyama ambaye atashindwa kumkamata, basi siku moja mbwa yule akamuona sungura akaanza kumkimbiza sana lakini bila mafanikio hakumpata!
alivyorudi akakuta wenzake wanamcheka wakisema wewe umekuwa ukijitamba hakuna kiumbe kinachokushinda mbio vipi leo imekuwaje?
Akawajibu wenzake, mnajua mnashindwa kuelewa jambo moja mimi nilikuwa namkimbiza kama moja ya kujifurahisha kwangu, lakini sungura alikuwa anakimbia kuokoa maisha yake hivyo lazima aweke bidii kubwa kuokoa maisha yake maana hajui kama mimi ninajifurahisha au nataka kumdhuru kweli.(hii stori alihadithiwa na baba yake ni mwanasheria)
akaniambia mke wangu nafikiri unabidi uangalie biashara hiyo ina umuhimu gani kwako kwenye kukutimizia mahitaji yako.
kiukweli huyu mwanamke amekuwa chachu ya mimi kupiga hatua kila siku, niwanamke mzuri kuanzia sura mpaka akili.
Niliporudi ile siku nilifikiria sana mfano wake nikasema tu huyu ndiye niliyemtarajia.
NB: ndoa ni miaka mitatu ila mahusiano mwaka huu natimiza miaka mitano.
Kanizawadia katoto kamoja kazuri.
Wanaume share ujumbe mzuri wa mke wako au mpenzi wako?
Nawashauri wanaume wenzangu sio lazima uoe rasmi hata kwenda kujitambulisha kwa wazazi wakakujua ni jambo la Hekima sana.
Lenie ona best ako ana tusema ma single😄🤒Love is a beautful thing, furahia pepo yako…
lennie ndio Mana nili kwambia tuungane, ona tunavyo chekwa🙄😄Mchomwe tu moto 🤣
Yote sawa ila ogapa kitu inaitwa kufunga ndoa.Kwani mkuu wewe hauhitaji mapenzi?
Achana na ndoa kwanza, si lazima kuoa ila hata kama upo na mtu unaishi naye na kwao tayari unafahamika ni jambo zuri.
hata ikitokea tatizo kama mwanamke kufa utakua upo salama sababu wazazi wanafahamu mtoto wao yupo sehemu gani tofauti na kuchukua mtoto wa mtu mkakaa kiholela.
Hakuna ndoa isiylkuwa na changamoto ila changamoto ni sehemu moja ya maisha kama utakimbia ndoa sababu ya changamoto utakutana nazo sehemu nyingine.
Mimi nishakuwa na mtu mpaka kunisaliti halikunifanya niseme hapana sasa sitaki ndoa.
rafiki yangu alishamtoaga demu kwao akiwa hajui hata kuvaa akamfundisha ujanja, akampeleka kumsomesha ila demu akamsaliti.
Lakini sasahiv ana mke na watoto na maisha yanaendelea.
Kataa ndoa😄🤒Yote sawa ila ogapa kitu inaitwa kufunga ndoa.
Hadi wewe nawe unataka kuwa mzembe mzembeYote sawa ila ogapa kitu inaitwa kufunga ndoa.
Stara wabakinayo wengine mi sitaki kusikia marriage tena mkuuPole sana mkuu.
Natumai siku moja utapata mwanaume sahihi wakukupa stara.
Ndoa kwa mwanamke ni stara na heshima ila wanaume tunaitafsiri kama gereza.
Hii kitu inaitwa ndoa naiogopa sana sijui kwanini🤣🤣🤣Hadi wewe nawe unataka kuwa mzembe mzembe