passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
- Thread starter
- #101
Mkuu,Siyo kwamba nawasagia kunguni ila mtaachana tuu ni kitendo cha muda tuu
Ni labda tu hujasoma vzuri.
Hapo juu hakuna sehemu inayosema kwamba hatutaachana ila nina enjoy moment zote nazopitia katika maisha yangu.
wewe huoni raha kuamka asubuhi mke anakuandalia maji ya moto na baridi hili ankuandalia chai mnapeleka mtoto shule baada ya hapo mnaondoka kwenye mishe mishe zenu?
suala la kuachana hakuna anayejua ila tunaishi moment ambayo ipo siwezi ku-control vitu ambavyo sijui itakuaje.
Mkuu wewe umeshaoa?