Leo ndio nimegundua kuwa kulia ni tiba kubwa sana

Watafiti wanasema mtu anapolia mwili unaachia oxytocin na opiods fulan zinaitwa endorphins,
Hizo kemikali zinasaidia kuondoa physical and emotional pain.

Ni kweli kulia kuna faida sana.
 
Watafiti wanasema mtu anapolia mwili unaachia oxytocin na opiods fulan zinaitwa endorphins,
Hizo kemikali zinasaidia kuondoa physical and emotional pain.

Ni kweli kulia kuna faida sana.
Ndiyo tulielie tu kama majuha?Aaarh waaapiii!Lieni wenyewe.
 
Ulikua unalia umbea.
 
Hakikisha unakua mwenyew unalia Kwa Raha zako Kwa kujiachia
Nitajipaje tathmini ya kiwango changu cha kulia?Ni vema wakawepo wathaminishaji wa uliaji wangu,kiwango cha sauti,mikunjo ya midomo na utetemekaji mwili wakati wa zoezi ili nijue kama nipo good au nafeli sehemu niongeze manjonjo.
 
Sio unalia mara hodi unaacha kwanza unaenda kufungua..au mara unaitwa na mtoto unaacha...unatakiwa uende hata porini au chooni ndo sehemu nzuri au bafuni..
Usijifiche.Lia tukuone live!Na tutapendekeza kama uliaji wako ni mzuri au ni boring tu.
 
kwahivyo umeona rasmi faida muhimu za kububujikwa na machozi, right?🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…