Leo ndio nimegundua kuwa kulia ni tiba kubwa sana

Katika mambo naenjoy katika maisha yangu ni kulia

Yaani nalia zangu weeeeh hadi nichoke halafu najifuta machozi najifunika shuka nalala....Mtu akiniamsha naangua tena kilio naliaaaaaa hadi nilale zangu mwenyewe.......๐Ÿ˜…
 
Hapo utakua haujitibu bala unaongeza mshtuko wa moyo..kwa mawazo ya fulani ananionaje domo langu..au nafananaje sura...
Unatakiwa usijibanebane wakati wa kulia.Jiachie huku unaongea vimanenomaneno kama mganga wa kienyeji.Cry it loudly!Do it more professional and for health-wise.
 
Absolutely, unafiwa na baba yako halafu unaambiwa usilie jikaze we mtoto wa kiume! Utajikaza sawa ila moyo unabaki na majeraha ya sonono kwa muda mrefu yanayopelekea kuchukua uhai wako pia.
Wenzetu wanalia wanamaliza kabisa chapter
Mkuu nenda Kalilie hata chooni au bafuni
 
Hata Mimi mtoto wangu akilia,namwangalia tuu akimaliza kulia namba,anakuwa kachangamka!Pia kwa mtoto mchanga akilia muache kidogo ndo umpe nyonyo mapafu yanakua vizuri(strong)!
 
Amen,Mimi hufanya hivo piaa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ