Sasa mkuu unamlaumu wakati ujui Nini kimempataNiwe mkweli, kuingia mitini kwa Polepole Leo bila taarifa yoyote kazingua Sana. Alitakiwa atoe taarifa ya kuhairisha Mkutano wake. Leo watu wengi wamefurika kumsuburia Polepole halafu hajatokezea.
Kazingua big time hata kama ni kwa bahati mbaya.
Atakuwa mpumbavu kama alikuwa anafanya press zake akiwa hapa Tanzania..nlitegemea atakuwa ughaibuniUsikute katekwa wameshamuua na mwili wake kuweka kwenye acid inayoyeyusha kama ilivyokuwa kwa Patrice Lumumba
Inasemekana katekwa
Kwani wamejua alipo ?Usikute katekwa wameshamuua na mwili wake kuweka kwenye acid inayoyeyusha kama ilivyokuwa kwa Patrice Lumumba
Inasemekana katekwa
Unamlaumu bila kujua kapata changamoto gani
hujui kapatwa na lipi, familia yake imepitia nini, ndugu zake wamepatwa na lipi, then unakuja lalamika hapa
Nasikia kapata ajali ya gari ila Sina uhakika sanaNiwe mkweli, kuingia mitini kwa Polepole Leo bila taarifa yoyote kazingua Sana. Alitakiwa atoe taarifa ya kuhairisha Mkutano wake. Leo watu wengi wamefurika kumsuburia Polepole halafu hajatokezea.
Kazingua big time hata kama ni kwa bahati mbaya.
Atakuwa mpumbavu kama alikuwa anafanya press zake akiwa hapa Tanzania..nlitegemea atakuwa ughaibuni
Yupo nyavuniStupid idiot
Write your reply...analiwa kiboga mda
Sasa mkuu unamlaumu wakati ujui Nini kimempata
Jizi la Ccm ni jizi la Ccm tu likipewa asali yakutosha usitegemee atawageuka wenzake
usikute yuko tik tok kajisahau leoAise mwenye namb ampigie
Akirudi atatoa sababu za kuingia mitini.
Write your reply...analiwa kiboga mda huu