Hahaha ni saa tano.Wengi tunasubiri kumskikiza atasema nini, lakini mkuu - umemuoverate sana Ndg. Polepole kwenye maelezo yako.. yaani ulivyochambua ni kama Nchi yetu haina chochote kabisa kwenye ulinzi na usalama na Polepole ni top dog saaaaana.. anyway bado tunasubiri press
Wahuni wameshapita na kichwa Pole pole!!Wanabodi,
Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!
Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。
Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。
Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!
My Take
Leo nahisi ndio siku Comred Polepole atatekeleza ule ushauri wangu,GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi! wa kumkataa shetani na mambo yake yote,atayakataa, atashuka kutoka katika hilo tawi la mti alilokalia,atasimama pembeni kwa miguu yake yote miwili ,akiwa mtu huru,sio mguu ndani mguu nje!,anajiweka pembeni, anakaa kando, akiwa mtu huru,kama ni kukata mti, anakata na mti unakwenda chini jumla, mazima!na sio ile ya kutaka kukata tawi la mti alilokalia!,leo anakuwa free! ndipo atwae shoka,with all his mighty powers,apige pigo moja kuu,pigo takatifu,apige shoka moja mbuyu chini!na baada ya hapo,atasema imekwisha!,atanyamaa kimya na kuiachia karma imalizie kazi!
Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!
Paskali。
Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
- Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
- Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
- Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ss?si=uqFefhMJWpSkVgRR msikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere!
- Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
- GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
- GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
- GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!
- GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!
- Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
- GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
Ngoja tuone 😃😃😃Walisema Hana madhara ,watu wamempuuza nitashangaa😁
Anyway acha niendelee kusubiri Gwajima maana ye haijulikani siku Wala saa atakayokua hewani 🤣kati ya hizi tar 24-25
Wahuni wameshapita na kichwa cha pole pole!!Walisema Hana madhara ,watu wamempuuza nitashangaa😁
Anyway acha niendelee kusubiri Gwajima maana ye haijulikani siku Wala saa atakayokua hewani 🤣kati ya hizi tar 24-25
Mkuu hii clip ni ya siku ile bhana, umetupotosha.
Wahuni washapita na kichwa cha pole pole, shida na yeye anaongea mnoo! Badala ya kutoboa, unatisha Tisha, ona Sasa!!Hahaha ni saa tano.
Umechuikia ukiwapi?kama kweli mnataka mabadiliko tumpe samia ameahidi katiba mpya nini tena mnatakaMsingekuja kwenye huu uzi
Baby acha bwana...kwamba ....Mkimsikia au kumuona tena,njooni mnichome moto
Nimekuja kuzima uongo na uzandikiMsingekuja kwenye huu uzi
Walisema Hana madhara,kapuuzwa nashangaaWatu wameachwa kwenye mataa...kila mtu alale Sasa.