mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ili mwanamke aolewe anatakiwa awe na miaka mingapi?Wewe unaweza kumuoa mtoto wa miaka chini ya 12 na ukambaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili mwanamke aolewe anatakiwa awe na miaka mingapi?Wewe unaweza kumuoa mtoto wa miaka chini ya 12 na ukambaka?
Hayo majini ya kwenye isaya ni dini gani?.wakristo wenzenu?(Isaya 13:21), majini yametajwa kuwepo.
Sasa mbali na kuamini, neno la Mungu limeweka wazi uwepo wa majini.
Islam ndo kabisa mnajumuika nayo msikitini kuswali.
Karibu.
Rehema na amani ya Mungu iwe juu yake mtumeNini kirefu cha S.A.W
Mbona unataka sana dini, jibu kwanza wewe dini Gani?Hayo majini ya kwenye isaya ni dini gani?.wakristo wenzenu?
Mimi ni muislam wa kuzaliwa na kufa.sijawahi kuona majini yakila na kwenda chooni ndo maana nashangaa.wakati majini hayaonekaniMbona unataka sana dini, jibu kwanza wewe dini Gani?
Sie wengine ni watu wa Imani, dini hazina nafasi kwetu.
Mzungu weusi wewe! Mtumwa mkubwa wewe ushoga HAUKUBALIKI TanzaniaNdiyo maana sijali na sibebeshwi mzigo wa kufuata desturi zao. Natumia vizuri akili zangu. Niko tofauti na wale wanao iga lugha, majina, mavazi, chukula nk. Siyo mtumwa kama wewe.
Swali zuri....Allah akubariqToa aya au hadith inayoelekeza kusherehekea mazazi ya mtume sheikh
Sasa majini hayaonekani, na Mungu pia haionekani.Mimi ni muislam wa kuzaliwa na kufa.sijawahi kuona majini yakila na kwenda chooni ndo maana nashangaa.wakati majini hayaonekani
Hutaki ushoga wakati mnaamrishana kila siku? Wewe mzungu mweusi upo serious kweli?Hakika, hatukubali ushoga na yote yanayoletwa ili kuua desturi zetu. Hatutaki kuwalazimisha watu waongee malugha ambayo hayaeleweki huku wamevaa magauni/makanzu.
Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa na sifa nyingi za kipekee ambazo zimekuwa mfano wa kuigwa kwa Waislamu na wanadamu wote. Baadhi ya sifa zake kuu ni:
Sifa hizi zinamfanya Mtume Muhammad (S.A.W) kuwa mfano wa kipekee wa maadili na tabia njema kwa wanadamu wote.
- Uadilifu na Uaminifu (Al-Amin)
Mtume Muhammad alijulikana kwa uaminifu na uadilifu wake tangu utoto. Alipewa jina la "Al-Amin" maana yake ni "mwaminifu" kwa sababu watu walikuwa na imani naye sana katika masuala ya mali na siri zao.- Huruma na Upole
Alikuwa na huruma kubwa kwa wanadamu, wanyama, na mazingira. Aliwahurumia maskini, mayatima, na wale waliokandamizwa. Mtume Muhammad alihimiza watu kuwasaidia wengine, na upole wake ulionekana hata kwa maadui zake.- Uvumilivu
Katika nyakati za changamoto na mateso, Mtume Muhammad alionyesha uvumilivu mkubwa. Alivumilia mateso ya Maquraishi kwa miaka mingi kabla ya hijra kwenda Madina, na hakujibu mabaya kwa mabaya, bali aliwapa watu muda wa kutubu na kubadilika.- Haki na Usawa
Mtume Muhammad alikuwa mlinzi wa haki na usawa kati ya watu wa tabaka zote. Alipinga ubaguzi wa aina yoyote, iwe ni kwa rangi, rangi au hadhi ya kijamii. Alifundisha kuwa watu wote wako sawa mbele ya Mungu, na cheo kinachopimwa ni uchamungu wao.- Unyenyekevu
Licha ya kuwa kiongozi mkubwa na Mtume wa mwisho, Muhammad (S.A.W) aliishi maisha ya unyenyekevu. Alikataa anasa na maisha ya kifahari, na alikuwa mfano wa jinsi ya kuishi kwa unyenyekevu, bila ya kujali nafasi au cheo chake.- Ujasiri
Mtume Muhammad alionyesha ujasiri mkubwa katika kupigania haki na uadilifu. Aliongoza vita kadhaa bila woga kwa ajili ya kulinda dini na umma wake dhidi ya dhulma, huku akizingatia kanuni za haki hata wakati wa vita.- Ukweli na Uaminifu
Alikuwa mkweli daima, hata katika mazingira magumu au yanayotishia maisha yake. Hakuwahi kusema uwongo, na Waislamu wanamfuata katika kuwa waaminifu na kusema ukweli daima.- Upendo kwa Familia na Wafuasi
Mtume Muhammad alikuwa mume na baba mwenye upendo mkubwa. Alitenda haki na upendo kwa wake zake, watoto wake, na wafuasi wake wote. Aliwahimiza watu kuwapenda familia zao na kuwajali kwa moyo wa dhati.- Uchaji Mungu na Ibada
Mtume Muhammad alikuwa na ibada kubwa kwa Allah (S.W). Aliomba kwa bidii, alifunga sana, na alikuwa na uchaji wa kweli kwa Mwenyezi Mungu. Alikuwa mfano bora wa jinsi ya kuishi maisha ya kidini.
Kwanza Uislamu ni dini?
Hayo majini ya kwenye isaya ni dini gani?.wakristo wenzenu?
Sasa kama sitaki hiyo adhabu ya kusifu 24/7 inakuaje ,huko kuna freewill au watu wanakua programmed kufata yaliyoandaliwa tuNeno liko wazi kuwa Mbinguni Kuna kula na kunywa,
Maandiko pia yanasema, chakula kimojawapo Cha Mungu ni Sifa. Ndio maana Mbinguni 24/7 ni kumsifu na kumwabudu Mungu.
Halafu pia ujue mbingu ni Moja, nje ya kumwamini Yesu, ni kuzimu na JEHANUM utaenda.
Wabishi na viburi hawaingii Mbinguni, Kwa wabishi ni kuzimu, na shetani pia hapendi kubishiwa, utatinduliwa ipasavyo.Sasa kama sitaki hiyo adhabu ya kusifu 24/7 inakuaje ,huko kima freewill au watu wanakua programmed kufata yaliyoandaliwa tu
Majini ya nabii solomon yalikuwa mabaya?Kwenye bibulia, ikitaja majini. Ina maanisha mashetani. Kwenye kuruwani ikisema majini, kuna majini mazuri na majini mabaya.
😛
Umedai majini hayapo, hujawahi yaona.Majini ya nabii solomon yalikuwa mabaya?
Neno liko wazi kuwa Mbinguni Kuna kula na kunywa,
Maandiko pia yanasema, chakula kimojawapo Cha Mungu ni Sifa. Ndio maana Mbinguni 24/7 ni kumsifu na kumwabudu Mungu.
Halafu pia ujue mbingu ni Moja, nje ya kumwamini Yesu, ni kuzimu na JEHANUM utaenda.