Leo nilikuwa nipeleke barua ya posa ila nilivyofika chuo cha Ushirika Moshi nimeingia mitini

Sawaa mkuu pamoja✊🏾
 
me huwa sipend sana kuwa negative ila huyu jamaa hata akimwoa mtoto wa watu atamtesa tu
Kama Ni kweli kabisa...alichosema at ceteris peribus... Hakua na nia ya dhati labda mchumba alilazimisha sana....huko aliko hakuna hata mrembo mmoja aliemzidi huyo mchumba wake uzuri?
 
NI WAZURI WA SURA NA RANGI ILA ROHO ZAO NI NYEUSI HADI SHETANI MWENYEWE HAAMINI...
 
me huwa sipend sana kuwa negative ila huyu jamaa hata akimwoa mtoto wa watu atamtesa tu

Ni kweli kabisa mkuu, hakuna muoaji hapo binti wa watu angeteswa sana, kuna jamaa niliishi nae jirani alikuwa anamnyima mpaka chakula mkewe yani jamaa anaenda kazini nyumbani haachi chochote akirudi ameshiba mke hajala siku nzima, usiku huo ndio ananunua ka mchele robo na mboga za majani alafu yeye hali anawaachia mke na watoto
 
Ngoja tupate experience ya huko ulipo pisi kama zina compete na za moshi
Mi nipo Rwanda mkuu, pisi za huku huwezi kufananisha na hivyo vinyago vya Moshi MAZIWA makubwa MIGUU myembamba wanaenda mbele kama wanarudi nyuma

Kwa kifupi PISI za Moshi ni SHAPELESS
Kwahiyo huwezi kuziweka kwenye kundi la PISI KALI
 

Aisee kuna binadamu kavu sanaaa
 
kama Ni kweli kabisa...alichosema at ceteris peribus... Hakua na Nia ya dhati labda mchumba alilazimisha sana....huko aliko hakuna hata mrembo mmoja aliemzidi huyo mchumba wake uzuri? ...

Aisee nimeshangaa daaaah sio vizuri lakin, mwanamke akijua this side of the story atakuwa depressed sana aisee na DEPRESSION IS REAL...
 
Sintoiweka mkuu aina sifa ya pisi kali

Nitajie hiyo Mikoa mkuu? Au we pisi kali mpaka awe na tako kama la sanchi? Manake Moshi kama unataka matako kama watu wa Mbeya haiwezekani na miguu ya bia kule hakuna, kule kuna rangi na shepu kidogo
 
Mi nipo Rwanda mkuu, pisi za huku uwezi kufananisha na ivyo vinyago vya Moshi MAZIWA makubwa MIGUU meyembamba wanaenda mbele kama wanarudi nyuma

Kwa kifupi PISI za Moshi ni SHAPELESS
Kwaiyo uwezi kuziweka kwenye kundi la PISI KALI

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544] jamaangu umewasiliba wachaga mpaka noma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…