Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Ukimfumania mkeo, lazima watoto waende kwa Mkemia mkuu kwa DNA. Hilo halina mjadala. Hivi nikuulize, unaweza kumpeleka mgoni wako mahakamani au polisi? Jibu ni hapana ila unayamaliza mwenyewe. Lakini la maana ni kuhakikisha mwanaume hana marinda. Hapo heshima itakuwepo
Route ya kwenda kupima Dna sio lazima hadi ufumanie, kwanza ni weakest link katika ethics za wanaume ,hadi unabambikiww mimba jua umeonekeana dhaifuUkimfumania mkeo, lazima watoto waende kwa Mkemia mkuu kwa DNA. Hilo halina mjadala. Hivi nikuulize, unaweza kumpeleka mgoni wako mahakamani au polisi? Jibu ni hapana ila unayamaliza mwenyewe. Lakini la maana ni kuhakikisha mwanaume hana marinda. Hapo heshima itakuwepo
Mkuu , nimemuuliza mdau humu thamani ya maisha yake Ipoje hajanipa jibu , shida ya Jf ni kuwa unaweza kuwa unafanya discussion na mtu amabaye hata hajaijua dunia vizuri .Mkuu iyo Ni case kubwa akienda kukushitaki Ni ulawiti uo.
Na je Kama wife alisema Yuko single?
Hivi unadhani hatukufanya na jamaa akaufyata. Hufanyi kiuzembe, nia ni kukomesha tabiaMkuu iyo Ni case kubwa akienda kukushitaki Ni ulawiti uo.
Na je Kama wife alisema Yuko single?
Inaonesha wewe ni amateur tu. Sikiliza Amber lulu alivyosema kuwa mchana alisex na harmo na jioni akasex na majani. Kupima mtoto DNA ni haki pia ya mtoto kulingana na sheria ya mtoto ya mwaka 2009Route ya kwenda kupima Dna sio lazima hadi ufumanie, kwanza ni weakest link katika ethics za wanaume ,hadi unabambikiww mimba jua umeonekeana dhaifu
Kwa mwanaume timamu kabisa hawezi kubambikiwa mtoto , unajua hadi Siku uliyotia mimba ,
Mkuu bado nasisitiza ethics za ndoa , vijana mna miss some links .Inaonesha wewe ni amateur tu. Sikiliza Amber lulu alivyosema kuwa mchana alisex na harmo na jioni akasex na majani. Kupima mtoto DNA ni haki pia ya mtoto kulingana na sheria ya mtoto ya mwaka 2009
Tuusake usingizi kesho tuendelee. Amber lulu ulikuwa ni mfano tu kuwa mwanamke anaweza kukazwa na jamaa mchana nawe usiku ukaloweka. Akipata mimba utadhani ni yako wakati mbegu ya aliyeanza ndiyo ili fertilize . Usiamini mtu katika masuala hayaMkuu bado nasisitiza ethics za ndoa , vijana mna miss some links .
Hivi amber lulu ni mwanamke unaeza kumweka kwenye list za wanawake wa kuoa ? Huyu naye utamkodia masela kwenda kufumania ? Hadi unajiweka kwenye mazingira akuzalie mtoto kosa linakuww la nani ?
Una hoja lakini mfano wako wa amber lulu kama ' mke ' haupo serious.
Unajidanganya. Ni siri yaoNiliwahi mweleza mwenza .
Me sina solution tofauti na kuwamaliza wote wawili.
Nashukuru alinielewa vizuri.
Dah! Asante mkuu. Umenena. Visa vya mk. ..u humalizwa kwa mk... u.Mie sintomfanya chochote mgoni wangu sema ntampiga tukio ambalo hatoamini maisha yake mixer kumla hata mama yake mzazi
Siku ukimkuta hii comment itakosa nafasi kwenye nafsi yakoMimi hata nikimkuta mwanaume anamla mke wangu kwenye kitanda changu, bado nitamuacha atoke salama, mtu hawezi kuja kwako bila ramani.
Mkuu hakuna jipya hapo hata nikikuta weyeSiku ukimkuta hii comment itakosa nafasi kwenye nafsi yako
Mkuu huyu Jamaa hanaga sentensi Mbili kwenye comments zake... Ila Sasa nashangaa Zile tag hazipo Siku hizi... Unajua ilikuwa Ni Burudani Tosha kabisaKweli ni hatari, sasa tunaomba ushauri wako kuhusu hiyo adhabu. (natumaini umesoma na kuelewa)
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kalpana Umeua.....dah nimecheka sanaAnatamani iwe enzi za Yesu arudishiwe sikio japo moja kama yule askari
Kupokea pesa kutoka kwa jamaa aliekugongea mkeo Ni fedheha kubwa Sana hapa duniani.
Kuna mtu mtaani alilipwa pesa Kama faini ya kugongewa mkewe akanunua pikipiki. Hata mke ana kudharau zaidi kwamba wew kwenye pesa si lolote ipo siku utatoa rinda kisa pesa.
Kama unapoke pesa ya mgoni wako Kama faini Basi mruhusu tu mkeo aende uwanja wa fisi awe anakuletea hesabu asubuhi.