Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Jamaa yangu aka yake KIMBU. Huyu jamaa kauli mbiu yake siku zote ni kuwa "kama huna pesa usioe mke mzuri baadaye uje wavika watu ubaya"
Jamaa alikuwa na operation ya kuchakata sana wake za watu.allahmdulilah si haba kazini tunapata vijisenti vya kununua magari na kujenga. Kwa sasa anakula maisha tu.
Mimi ni kaka na Boss wake. Nimeshamwambia mara kadhaa aache kuchapa wake za watu. Anakuwa mbishi. Kachapa mke wa Jamaa wa Tanga. Jamaa wa Tanga ni mfanyabiashara wa Nazi. Ana mke mzuri sana kamtoa kwao huko. Jamaa kala.
Akaja pewa onyo kuwa aache kutembea na mke wa Mgosi. Na Mgosi siku anaongea na jamaa kwa simu tupo wote Masaki kiwanja flani Kaunta. Jamaa alimtukana sana Mgosi kuwa akamwambie mkewe si kumwambia yeye Kimbu. Yeye Kimbu haoni palipoandikwa kwa yule dada kuwa ni mke wa mtu asiliwe. Mgosi alilia kwenye simu. Kimbu akaniambia Mgosi fala sana. Analilia demu.
Jamaa alimla tena yule dada na tena. Anasema dada anajua mapenzi balaah. Ijumaa jamaa anasema aligundua kama week sasa mashine imenyong'onyea. Haisimami. Imekuwa bwege, imekuwa zezeta, imekuwa ndondocha. Inatema udenda tu.
Anasema alijaribu hata kugusisha kwenye K ya mkewe. Hamna kitu. Akaenda tafuta mwanamke anayejiuza akagusisha. Hamna kitu.
Akatafuta mwanachuo akagusisha hamna kitu. Akaicharge hamna kitu. Yaani inatoa tu udenda muda wote. Hospitali wamepima ule udenda ni kama saliva anavyotoa mtoto mdogo. Hauna ugonjwa wowote. Jamaa amelazwa kwa uchunguzi zaidi maana pia anasema akienda haja kubwa ni issue. Mpaka amechanika sehemu ya kutolea. Kipenyo kimeongezeka. Imefikia hatua hataki kula. Maana akiwaza tu suala la kwenda kukata gogo anaishiwa hamu. Akitoka chooni hata kutembea hawezi amechanika. Hapo katumia almost 2 hours. Anasema kajaribu kuwa awe anakunywa vitu laini tu. Bado shida ipo pale pale.
Jamaa anasema anateseka sana. Anatoa choo kikavu yaani muda huo huo unaweza kitumia kama kuni kikawasha moto. Hata anywe nini choo kinatoka cheusi kama kala mkaa na kikavu na kina harufu kama alikula mzoga wa Kunguru.
Ila bado haamini kama ni kazi ya Mgosi. Anasema labda ni constipation tu. Ila week ya pili leo hata kutembea anatembea ametanua miguu maana mashine inaumwa inatoa udenda tu na nyuma ndo kupo nyang'anyang'a hakufai.