Baada ya kuachana na huyo mwanamke ,...nilikaa zaidi ya miaka 3 ( without relationship, without sex , without masterbation )
Nilikua nikipenda kusoma vitabu mbalimbali, like THORAH, TALMUD, QURAN , BIBLE ...lots of book ( lakini sana, nilipenda kusoma Bible & KATIBA )
I did alot of meditation
Nilifuatilja mafundisho ya viongozi mbali mbali wa dini like TB Joshua ...
Mwisho nikawa based kumsikiliza Holy Spirit ( Hapa ndipo nilipogundua mengi sana )
Note; Nilipoachana na issue za sex...niligundua vitu viwili vya ajabu sana.
1. Nilikua more attracted to women ( nilikua napata machance mengi sana ya kupiga mzigo , nikawa nakwepa )
2. Ilikua ikifika 3 au 4 months...kibubu cha testacles kilikua kinajaa ( nikawa nasikia kabisa sperms zinatembea kwenye vigoroli ) ...hali hiyo ilikua inadumu for 2 days...then utashangaa usiku umelala zinatoka zenyewe kwà kasi sana...na zinakua MBEGU nyingi sana.