Elimu inatokana na kuwa na hofu ya Mungu ( ndio hutusaidia kuishinda mitihani ya dunia ) ; Ndio maana kabla ya mitihani ya final..kuanzia vidudu, primary , sekondari ,vyuoni...lazima sala zipigwe sana.
Maarifa yanatokana na kumcha Mungu ( ndio hutusaidia kuyashinda majaribu ya dunia hii )
Kwahiyo , ni vyema tuwe na hofu ya Mungu na pia tumche Mungu ili safari yetu iwe ya Kheri.
Note: Kuna watu wanahofu ya Mungu, na Mungu anawatambua kuwa ni watu wake ...lakini huyo huyo Mungu anasema...." Watu wangu Wana angamia kwà Kukosa maarifa "
Bila shaka utakua umenielewa sasa.