Kuna jamaa aliwahi kumla mzazi mwenzangu ( ambae alikua mke wangu , lakini kwà tabia zake za kizinzi nikaamua kumuacha) ...jamaa nilivyomwambia aachane na mke wangu kwenye simu..alinitukana sana. Then nikamtafuta live...bado akaonekana kuwa mjeuri sana.
Sikumfanya kitu chochote , baada ya kugundua sio huyo tu kuwa wife alikua akitembea nae...bali alikua kawapanga wanamme zaidi ya watano...walikua wanamla kwà kupokezana.
Nikaona isiwe case,..nikamuachia kila kitu nikasepa. Si vyema kugombana na wanaume wenzako au kumfanyia ubaya Mwanaume mwenzako kwasababu ya mkeo. Utaishia kugombana na wanaume hovyo na mwisho watu watakuona wewe ndiye mwenye shida wakati tatizo ni tabia mbaya ya mkeo.
Note: Mwanamke akikusaliti katika issue ya kugawa mwili wake kwà Mwanaume mwingine...usithubu kuendelea nae. Kwani ataendelea na hiyo tabia.
Niliwahi kumfuma mzazi mwenzangu na wanamme zaidi ya mara 3...lakini hakukoma kuacha tabia hiyo.