Leo nimelia sana. Kweli Cha Mtu.... Sidhani kama nitaweza kula

ungemkata kidole uone kama angerudia
 
Duuh kumudu bila kupiga shoo 3+ years ni nouma sana, experience among best teachers in real world. Mi nakamua mizigo but I tell women I don't need you don't love me bcoz I basically need women and never love them but women must love me. I communicate this from the very beginning
 
Mimi ndio mgosi, mwambie hafi ila cha moto atakipata tu. Week mbili bado ndogo sana, namuongezea kama miezi miwili aache kucheza na wake zetu.
 
Nilimaanisha kipigo kwa hao wanaume wanaokuchapia mkeo!
 
Saizi yake kabisa walahi
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Nilimaanisha kipigo kwa hao wanaume wanaokuchapia mkeo!
Haina haja ya kugombana na wanaume wenzako. Kama mwanamke ni mzinzi....ukigombana na wanaume wenzako sana sana utaishia kujichafua tu wewe mwenyewe kama Kichwa cha familia.

Watu watakudharau, na kila mtu atakucheka na kukunyooshea kidole kila upitapo.

Mwanamke kama amekushinda tabia, mpe nafasi , mpishe, muache aende zake.
 
Hekima ya kiwango cha juu hiyo
 
Haya nipe namba ya mganga wa mgosi..chAp..😅😅
 
Je ukiwaambia hivyo, je wanakupenda sana?
Na unawaambia kabla ya kumla ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…