Leo nimelia sana. Kweli Cha Mtu.... Sidhani kama nitaweza kula

Mwambie atafute kisu cha ngariba, kucha za jogoo mweusi, halafu atoe mrejesho humu sio DM hatutaki wengine kuonekana matapeli
 
Hekima ya kiwango cha juu hiyo
Incase you didn't know wadiz ,....ukiwa kwenye Mahusiano kuna vitu unatakiwa kuvitunza kwà hali na mali.

1. Kutunza afya Yako

Ukitunza afya Yako, utakua umetunza na ya mwenzako pia. Familia nzima itakua yenye afya na salama

2. Kutunza haki Yako

Ukitunza haki Yako, na ya mwingine utaitunza pia. Hautaweza kumnyima mwenza wako unyumba au kwenda kuitoa haki hiyo kwingine

3. Tunza siri

Tunza siri Yako , na ya mwenzako pia.

4. Tunza watu wako ( Mungu anaokuletea ) , na wa mwenzako pia.

Hii maana yake ni kuwa mkarimu


Note: Ukitaka kuharibu Mahusiano, jifanye mbinafsi. Wanaume na wanawake wengi sana wamewaua wenza wao kwà maksudi kwasababu ya ubinafsi...wanaenda nje kuchota magonjwa ( uti, hiv, gonorrhea, kaswende...you name it ) na kisha kuwaletea wenza wao ndani ya nyumba zao. Inaumiza sana!!
 
Chai
 
Pole kwa kuoa malaya
 

Ndio Ilivyo hivyo
ue ya kugawa mwili wake kwà Mwanaume mwingine...usithubu kuendelea nae. Kwani ataendelea na hiyo tabia.

Niliwahi kumfuma mzazi mwenzangu na wanamme zaidi ya mara 3...lakini hakukoma kuacha tabia hiyo.
😁😁😁😁
 
Ni kweli, heri kuachana naye tu.
 
kwa bahati mbaya, kama ni kweli, ikiwaga hivyo mtu huwa haponi, manake umeshanasa kwenye mtego, ungekuwa haujanasa sawa ila ukishanasa manake wamekuzidi. mshauri aokoke tu pengine neema ya Mungu itamwangukia akapona, ama la ajiandae na maisha ya baada ya kifo, soon. wanaojua wamenielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…